Mndengereko One
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 340
- 243
kama sikosei tanzania ina mawakala sio chini ya saba lakini naona kama hamna wakala vile nao wakumbuka saidi tuli,hemed remtula,salehe ally,yussufu bahresa, John ndumbaro na jamal kisongo lakini kati ya hao sizan kama yupo aliye itendea haki said tuli sijawai kumsikia amempeleka . kwenye try yeyote.hemed remtula mchezaji wa mwisho kumsikia pale alipo muuza heri josephu baada ya hapa sikumbuki kama aliwahi kupeleka mwingine.salehe ally hapa nisiwe muongo huyu wa visiwani sina ripoti zake yussufu barharesa tokea ampeleke boko israel na ngasa west ham sijamsikia tena bahati mzuri sasa hivi kwake kuna madini yapo anayaangali tu faridi musa,mudathir yahaya na himid mao hii ilikuwa biashara nzuri kwake.john ndumbaro sijaona kazi yake ata moja hapa ndo na umia zaidi namkumbuka kaka yake damas ndumaro wakala wakweli aliyekuwa tanzania wakala wa ulimwengu wakala wa bobani aliacha uwakala kwasababu wachezaji wali mwangusha aliwahi kupeleka vijana ujerumani wakafuzu wakakaa mwezi wakaludi kisa baridi aka hamua kuacha uwakala.jamali kisongo wa ukaya nilimfahamu wakati nipo kibiti kwenye mambo ya siasa ni mtu makini kufanya nae kazi amepambana na sasa amepata uwakala hili ndo tumaini pekee kwa tanzania wachezaji wetu wenye nia wafanye kazi na huyu mtu wakala wa mbwana samata,haji ungando na kuna huyu mwingine denis kadito sasa hivi ataki kufanya kazi na wa bongo wenzie ana fanya kazi na waburundi amesha mtoa abdul fiston amempeleka south sisi atutaki kisa alichofanywa na kapombe naomba tujadili hapa kwann mawakala wetu hawa watafutii timu wachezaji wetu