Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
Wakuu,
Kiukweli na uhalisia,
Karibia 84.6% ya watu wanaofanya biashara ya pesa za mitandao wanatumia line zenye majina ya watu wengine-
Ambazo wamezipata kwa kununua au kupewa kienyeji tu,
Na pengine hata mmiliki wa awali mwenye jina la laini husika ya wakala hawamjui, hawajui yuko wapi na/au hawana mawasiliano naye kabisa.
Sasa nasema hivi,
Kwenye huu mchakato wa kusajili hizi laini kwa alama za vidole,
Mawakala wengi imekula kwetu-
Na naiona hatari ya biashara hii kukwama kwa watu wengi-
Na hata kuleta adha kwa wananchi kwa kukosa huduma ya "mobile money" kwa muda fulani
kwani 15.4% ya mawakala wenye laini zenye majina yao halisi hawatoweza ku_accomodate raia wote watakaohitaji huduma.