Mawakala wa Tigopesa, M-PESA na Airtel tunaotumia line zenye majina tofauti na yetu hatuna chetu tena!!!

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,635
Reaction score
4,160
Wakuu,

Kiukweli na uhalisia,
Karibia 84.6% ya watu wanaofanya biashara ya pesa za mitandao wanatumia line zenye majina ya watu wengine-
Ambazo wamezipata kwa kununua au kupewa kienyeji tu,

Na pengine hata mmiliki wa awali mwenye jina la laini husika ya wakala hawamjui, hawajui yuko wapi na/au hawana mawasiliano naye kabisa.

Sasa nasema hivi,

Kwenye huu mchakato wa kusajili hizi laini kwa alama za vidole,
Mawakala wengi imekula kwetu-

Na naiona hatari ya biashara hii kukwama kwa watu wengi-
Na hata kuleta adha kwa wananchi kwa kukosa huduma ya "mobile money" kwa muda fulani
kwani 15.4% ya mawakala wenye laini zenye majina yao halisi hawatoweza ku_accomodate raia wote watakaohitaji huduma.
 
Tanzania tanzania eamechukua USd sasa wanamalizia madafu
 
Laini za uwakala sitasajiliwa kwa business name. Hivyo ili kuwa wakala utatakiwa uwe na lesseni ya biashara.
 
Nikweli kabisa mkuu,maana itabidi kwenda na taarifa zako mwenyewe,pia makampuni yatapata hasara
 
Laini za uwakala sitasajiliwa kwa business name. Hivyo ili kuwa wakala utatakiwa uwe na lesseni ya biashara.
Leseni ya Biashara Haina ulazima wa business name. Hata Jina Lako linatosha.

Cha kufanya Ni kuwasilisha Nyaraka na kubadili Jina lenye uwakala liwekwe Lako.
 
Namshukuru Mungu Jehovah maana mimi sio mlumumba. Naelewa na kukubali kuwa kuna haja ya namba za simu kusajiliwa ili kuwa na control kwenye matumizi yake. Lakini kutofanya assessment kwanza ili kujua namna bora ya kutatua tatizo lililopo bila kusababisha massive disruption ya operations ni ujuha mkubwa.
Sijui kama hawa watu huwa wanajiuliza negative impact kwenye uchumi wanayoisababisha kutokana na maamuzi yao ya hovyo hovyo!

Magufuli hajui kuwa kunikomoa mimi ninaeonekana kuwa ni mmoja peke yangu anakuwa amewakomoa hata ndugu zake wa chattel indirectly.
 
Si unabadilisha jina tu kutoka la line unayoitumia kuja ya jina lako. .. nadhani ule ukuda wa kizamani kuwa huwezi sajiri line yenye jina la mtu mwingine au kuifunga line isiyo yako itakuwa imefutwa automatic... unaenda tu kujibunia tu namba nzuri unaisajiri
 
Nilishalikwepa hlo mapema nkaamua kutafta document zang mwenyewe sasa unakuta mtu ananunua lain ya mpesa 130000 - 170000 wakat anaweza akapata document zake kwa laki mbili tuu ambapo anaweza akapata lain za mitandao yoteeee tena buree
 
Inasemekana hapa kuna changamoto ya kucheleweshewa sana kuipata hiyo line, kwako ilikuchukua muda gani kuipata line na ulitumia njia ipi mkuu.
 
Yaani hili zoezi ni gumu sana labda hivyo vifaa vya kufanyia usaliji kwa vidole viwe kama zile mashine za efd mawakala wa mitandao wazunguke mpaka vijijini!
Wewe sasa hivi nimtoe bibi kuijini huko aje town kusajili laini kweli?
 
Kwani pia laini za uwakala wanatakiwa nazo kuzisajili kwa dole gomba kabla december?
 
Wakuu,

Kiukweli na uhalisia,
Karibia 84.6% ya watu wanaofanya biashara ya pesa za mitandao wanatumia line zenye majina ya watu wengine-
Ambazo wamezipata kwa kununua au kupewa kienyeji tu,

Na pengine hata mmiliki wa awali mwenye jina la laini husika ya wakala hawamjui, hawajui yuko wapi na/au hawana mawasiliano naye kabisa.

Sasa nasema hivi,

Kwenye huu mchakato wa kusajili hizi laini kwa alama za vidole,
Mawakala wengi imekula kwetu-

Na naiona hatari ya biashara hii kukwama kwa watu wengi-
Na hata kuleta adha kwa wananchi kwa kukosa huduma ya "mobile money" kwa muda fulani
kwani 15.4% ya mawakala wenye laini zenye majina yao halisi hawatoweza ku_accomodate raia wote watakaohitaji huduma.
NITAK LIMITED
 
Kwa upande wa Tigo pesa nilihuzulia mafunzo yao wiki iliyopita walisema unaweza kumtafuta ndugu au Rafiki unaemuamini ambae ana leseni ya biashara na kitambulisho cha Taifa akakubadirishia kwa jina lake then ukishapata leseni ya biashara yenye jina lako halisi unabadirisha kwa jina lako, kwa mitandao mengine sifahamu
 
Nilishalikwepa hlo mapema nkaamua kutafta document zang mwenyewe sasa unakuta mtu ananunua lain ya mpesa 130000 - 170000 wakat anaweza akapata document zake kwa laki mbili tuu ambapo anaweza akapata lain za mitandao yoteeee tena buree
Wewe utakuwa umeanza hii biashara miaka ya karibuni wakati imeshaingiliwa na kila mtu, waulize wakongwe bila laki 8,ulikuwa huwezi pata till ya tigo pesa tena kwa mtu!! Ukienda ofisi za tigo ulikuwa huwezi pata kabisa!! Ndio ilipelekea watu kuwa wananunua mkononi!!
 
Back
Top Bottom