Mawakala wa Ushuru Jiji la Dar es Salaam watafuna tsh bilioni 10 walizokusanya, RC Makalla awapa siku 60 wazirejeshe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Baraza la Madiwani wa Jiji la DSM wamesema mawakala wa kutoza Ushuru wametafuna Jumla ya tsh bilioni 10 walizokusanya

Hata hivyo Mkuu wa Mkoa mh Makalla amewapa siku 60 wawe wamezirejesha vinginevyo atawaburuza mahakamani

Chanzo: ITV habari
 
Siku 60 zote za nini, au anataka mpaka wakimbie nchi?

Hao ilikuwa ni kuwekwa ndani kwanza kisha utaratibu mwingine ufuatwe mf kutaifisha mali na ku-freeze account zao kama zina hela, vinginevyo hayo ni maigizo.

Mtu kala hela za Uma then unampa siku 60 za nini, sukuma ndani.

Mwizi wa kuku/ vibaka wanachomwa au kuuwawa on the spot, mwizi wa Bilioni 10 anapewa time window ya siku 60 kurudisha.
 
Baraza la Madiwani wa Jiji la DSM wamesema mawakala wa kutoza Ushuru wametafuna Jumla ya tsh bilioni 10 walizokusanya

Hata hivyo Mkuu wa Mkoa mh Makalla amewapa siku 60 wawe wamezirejesha vinginevyo atawaburuza mahakamani

Chanzo: ITV habari
Urefu wa kamba
 
Waachwe wale tafadhari! Yeye mwenyewe lazima awe mwizi
 
kwa style hii nkilamba teuzi wameumia wajinga hawa....nalamba asali mpaka nyuki wenyew nalamba manina
 
kumamake yani!!! ,.mimi na sota na vihela vya mshahara madeni kibao hata million 50 sijawahi kuiona kwa macho ila watu wanagawana 10billion kama njugu za shamba
Alafu wanasema watu wazidi kulipa maushuru na matozo...huku kuna watu wanazila tu

Ova
 
Baraza la Madiwani wa Jiji la DSM wamesema mawakala wa kutoza Ushuru wametafuna Jumla ya tsh bilioni 10 walizokusanya

Hata hivyo Mkuu wa Mkoa mh Makalla amewapa siku 60 wawe wamezirejesha vinginevyo atawaburuza mahakamani

Chanzo: ITV habari
Bahati nzuri mawakala ni wanaCCM hakuna namna
 
Back
Top Bottom