Baraza la Madiwani wa Jiji la DSM wamesema mawakala wa kutoza Ushuru wametafuna Jumla ya tsh bilioni 10 walizokusanya
Hata hivyo Mkuu wa Mkoa mh Makalla amewapa siku 60 wawe wamezirejesha vinginevyo atawaburuza mahakamani
Chanzo: ITV habari
Hizo hela ni za wanachi. warudishe immediately au wawekwe ndani. Siku 60 za nini huku wameiba?