johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wanaponiacha hoi usidhani wameridhika, ukitokea mwanya sehemu nyingine wanapiga tena nyau walehizo hela hazirudi ,ni mbwembwe tu .
ila walamba asali hawana huruma 10 BILLION TSH??
hawajamaa wanapiga aisee
Urefu wa kambaBaraza la Madiwani wa Jiji la DSM wamesema mawakala wa kutoza Ushuru wametafuna Jumla ya tsh bilioni 10 walizokusanya
Hata hivyo Mkuu wa Mkoa mh Makalla amewapa siku 60 wawe wamezirejesha vinginevyo atawaburuza mahakamani
Chanzo: ITV habari
Waachwe wale tafadhari! Yeye mwenyewe lazima awe mwiziBaraza la Madiwani wa Jiji la DSM wamesema mawakala wa kutoza Ushuru wametafuna Jumla ya tsh bilioni 10 walizokusanya
Hata hivyo Mkuu wa Mkoa mh Makalla amewapa siku 60 wawe wamezirejesha vinginevyo atawaburuza mahakamani
Chanzo: ITV habari
kumamake yani!!! ,.mimi na sota na vihela vya mshahara madeni kibao hata million 50 sijawahi kuiona kwa macho ila watu wanagawana 10billion kama njugu za shambaWanaponiacha hoi usidhani wameridhika, ukitokea mwanya sehemu nyingine wanapiga tena nyau wale
Alafu wanasema watu wazidi kulipa maushuru na matozo...huku kuna watu wanazila tukumamake yani!!! ,.mimi na sota na vihela vya mshahara madeni kibao hata million 50 sijawahi kuiona kwa macho ila watu wanagawana 10billion kama njugu za shamba
Bahati nzuri mawakala ni wanaCCM hakuna namnaBaraza la Madiwani wa Jiji la DSM wamesema mawakala wa kutoza Ushuru wametafuna Jumla ya tsh bilioni 10 walizokusanya
Hata hivyo Mkuu wa Mkoa mh Makalla amewapa siku 60 wawe wamezirejesha vinginevyo atawaburuza mahakamani
Chanzo: ITV habari
Hasa walipatikana wakati wa Meya wa ChademaBahati nzuri mawakala ni wanaCCM hakuna namna
Jinga wewe, tenda zinatangazwa kila mwanzo wa mwaka wa fedhaHasa walipatikana wakati wa Meya wa Chadema
Kumbe!Jinga wewe, tenda zinatangazwa kila mwanzo wa mwaka wa fedha