Baraza la Madiwani wa Jiji la DSM wamesema mawakala wa kutoza Ushuru wametafuna Jumla ya tsh bilioni 10 walizokusanya
Hata hivyo Mkuu wa Mkoa mh Makalla amewapa siku 60 wawe wamezirejesha vinginevyo atawaburuza mahakamani
Chanzo: ITV habari
We ajuza weka orodhaKumbe!
Dada mbona ni wachagga watupu!
Dar kapwaya sanaHuyu makala nae chizi kweli, hao ni kusweka ndani
Dar ya KandoroDar kapwaya sana
Huu ni unoko?RC aache ukuda .
Nivile tu marehemu hasemwi vibayaDar ya Kandoro
hizo hela hazirudi ,ni mbwembwe tu .
ila walamba asali hawana huruma 10 BILLION TSH??
hawajamaa wanapiga aisee
Nimecheka hii komentiNchi hii kila mtu mwizi tu
Ova
Awasweke ndani ili aitwe ana wivu na matajiir kama ilivyokuwa kwa magu?Huyu makala nae chizi kweli, hao ni kusweka ndani
Yule kahaba aliye sema yeye ana sema kwa karamu yupo wapi?Baraza la Madiwani wa Jiji la DSM wamesema mawakala wa kutoza Ushuru wametafuna Jumla ya tsh bilioni 10 walizokusanya
Hata hivyo Mkuu wa Mkoa mh Makalla amewapa siku 60 wawe wamezirejesha vinginevyo atawaburuza mahakamani
Chanzo: ITV habari