Ndagullachrles
Senior Member
- Jun 20, 2023
- 153
- 161
Mawakala wa Utalii mkoani Kilimanjaro ,wameitaka serikali kuifuta mara moja Taasisi isiyo ya kiserikali iitwayo Kilimanjaro Porters Assitance Project (KPAP)kwa kile wanachodai taasisi hiyo inachafua taswira ya biashara ya utalii nchini.
Wanadai kuwa, KPAP inaeneza propaganda chafu za kuwachafua mawakala nchini kuwa siyo waaminifu na wasiotoa huduma nzuri kwa wapagazi jambo ambalo wanadai si kweli.
KPAP kupitia wavuti yake imetoa orodha ya makampuni ya wakala wa Utalii yapatayo 45 na kuiamimisha Dunia kuwa hayo ndiyo makampuni yanayotoa huduma nzuri kwa wageni na Kwa wapagazi.
Soma: Mawakala wa Utalii wapaza sauti Taasisi ya Kilimanjaro Porters Assistance Project (KIPAP) inavyowachafua huko Ulaya
Kutokana na Taarifa hizo mawakala hao wanahoji mamlaka ya taasisi hiyo kujichukulia majukumu ambayo si yake.
Hali hiyo imewaweka kwenye wakati mgumu mawakala kwani mara kwa mara wamekuwa wakiulizwa na watalii kama ni wanachama wa KPAP.
Nyaraka za mawasiliano baina ya wageni na mawakala zinaonyesha kuwa kama wakala hayupo kwenye Taasisi hiyo baadhi ya watalii wamekuwa wakifuta safari na kutafuta wakala ambaye ni mwanachama wa KPAP.
"We are a group of 5-7 people to climb Kili on Jully 2022 and we are looking for options for the Lemosho route "
"Could you please advise on your rates and what is icruded and excluded?"
"Are yuo a member of KPAP?"
many Thanks.
Regards.
Hiyo ni moja ya mawasiliano ya mgeni na wakala akitaka kujulishwa kama ni mwanachama wa hiyo Taasisi.
Mawakala Hawa wanadia Taasisi hiyo imekuwa chanzo cha wao kukosa wageni mara kwa mara na kuweka rehani biashara ya utalii ambayo serikali ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imepambana kuutangaza duniani kwa gharama kubwa kupitia Filamu ya Royal Tour.
Wakala mmoja amezungumza kwa sharti ya kutotajwa jina lake amedai kuwa hivi karibuni amepoteza wageni kumi kutokana na kutokuwa sehemu ya hiyo Taasisi na hivyo ajira za watu 45 zikapotea wakiwamo waongoza wageni watano,wapishi watano ,wahudumu watano na wapagazi 30 ambao pia wamakosa mishahara .
Mbali na hilo Tanapa imekosa mapato ya Dola za kimarekani 8,350 ikiwa ni park fees za kupanda mlima Kilimanjaro.
Kina mama sokoni nao wamekosa pesa kwani wangeweza kuingiza kipato,supermarket nako wamekosa pesa pamoja na kwenye mahotel ambako wageni Hawa wangeweza kulala.
"Hiyo ni trip moja ya wageni,jiulize kama kila mgeni atakataa kupanda mlima na kampuni ambayo haipo KPAP unatarajia nini kama si biashara ya utalii kuhodhiwa na watu wachache?,anahoji .
Wanaitaka serikali kuchukua hatua za haraka kuifuta KPAP ili kunusuru sekta ya utalii kwani mamia ya mawakala wa Utalii watafunga ofisi zao na marefu ya watu wanaotegemea ajira kupitia sekta ya utalii wataishia kuwa ombaomba huku serikali kwq upande wake ikikosa mabilioni ya fedha zinazotokana na tozo mbali mbali kupitia Utalii.