Mawakala wa wanyonyaji hawawezi hata kuwa wanafunzi wa Dkt. Bashiru yaani hawajui kwamba Bashiru anasimamia ilani ya CCM

Mawakala wa wanyonyaji hawawezi hata kuwa wanafunzi wa Dkt. Bashiru yaani hawajui kwamba Bashiru anasimamia ilani ya CCM

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
Ilani ya CCM inasema kwamba CCM itapambana na Rushwa na ufisadi kwa nguvu zake zote Sasa Hawa mawakala wa wanyonyaji wanatoka chama gani kama siyo ushamba tu wanaoulekeza yaani watu wengi ukifuatilia hawana hata elimu.

Maana kumpinga Bashiru ni kujitoa ufahamu. Bashiru anawaeleza wazi wazi kuwa waache kuwa watoa shukrani kwa kuwapamba wanyonyaji wao.
 
Uzuri Bashiru ni kada na Mawakala wa wanyonyaji pia ni makada. Acha tu migambo iruke na kukanyagana.
 
Tunasahulishwa kirahisi madhila ya maji na umeme ....
 
Back
Top Bottom