Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora aizime ili waone umuhimu wa Free Pilars of governanceDPP mapema kabisa, ataikataa.
Hao vilaza wako wana viwango vya kawaida sana kwani kina mdee vipi wamewashindwa? Wale ni mawakili wa mitandaoKama hakuna Kibatala, John Mallya na D. Matata basi hapo hakuna Mawakili.
TLS wapo busy na asali ya Ikulu
Mahakama za kitapeli kesi inatajwa kila baada ya miezi 6 mara mojaHao vilaza wako wana viwango vya kawaida sana kwani kina mdee vipi wamewashindwa? Wale ni mawakili wa mitandao
Nakubaliana na weweKila njia itumike kuyadhibiti mafisadi yanayotumia ofisi za umma kujitajirisha.
Hata akiingia Madeleka naye ni mbaya balaaKama hakuna Kibatala, John Mallya na D. Matata basi hapo hakuna Mawakili.
Wakili msomi Pascal Mayalla nenda kaongeze nguvu
Hahaha wacha nicheke tuWakili msomi Pascal Mayalla nenda kaongeze nguvu
Tunataka Mpina wengine watano tu ili nchi inyoke