Mawakili 18 waomba kusimamia kesi ya Mpina kuwashitaki Bashe na Spika wa Bunge

Hiyo kesi haita-serve practical purposes, its just a mere academic exercise. Kesi za hovyo kama hizi ndio zinafanya mahakama ionekane ina kesi nyiingi, kumbe asilimia kubwa ni takataka
daha ,
umeandika ukweli kinagaubaga mpaka mawakili wenyewe itakua wanacheka wenyewe huko waliko kwamba umewastukia lengo lao, kumbe wako practical
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…