chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
#MauaYaSamia
Mawakili wasomi wanaokutana Arusha mwaka huu 2023 wamekunwa na sera nzuri na tamu za SSH. Mawakili hao wamesema Sasa wanafanya kazi kwa Uhuru mkubwa na utawala wa sheria umetamalaki.
Mawakili hao walionekana kukerwa kabisa na uongozi wa awamu ya tano. Mawakili ni moja ya makundi mengi katika jamii ambayo yalikerwa na uongozi wa awamu ya tano.