Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
based on what evidenceJebra amekuwa mwanasiasa na mwanaharakati siyo mwanasheria tena!
Hivyo vitu ulivyovitaja hapo,havitenganishiki,sheria inaongoza siasa na mwanasheria atakaye paza sauti kukemea siasa zinazokiuka sheria za nchi ataonekana ni mwanaharakati tu....Jebra amekuwa mwanasiasa na mwanaharakati siyo mwanasheria tena!
Amefanya bonge la kosa na worse enough barua ina saini yake.Nimeona Jebra kapost, kesi yake inaanza......anaweza pigwa chini kama Shangazi
Kwa hiyo kazi ya viongozi wa TLS ni kupingana na serikali? basi ni chama cha kijinga.Mimi nilifikiri TLS ni proffessional body kama chama cha madaktari Tanzania au bodi ya mainjinia au bodi ya wahasibu au chama cha wataalamu wa hisabati nk kumbe TLS ni kama Club tu ya wanasheria kisicho na malengo proffessional.Tanzania Law Society imekuwa mwiba sana kwa jiwe na jitihada zake kutaka kuwadhoofisha zilianza toka Mwakyembe alipokuwa waziri wa sheria lakini akashindwa. Angalia tu nani wamekuwa viongozi wa TLS; kuanza na Tundu Lissu, akafuatiwa na Fatma Karume . Wote haha wamekuwa hawakubaliani na jinsi Jiwe anavyoendesha nchi.
Kwani kuwa mwanasiasa ni dhambi au ni kosa la jinai? Akina Chenge, Tulia n.k wao ni wanasheria tu?Jebra amekuwa mwanasiasa na mwanaharakati siyo mwanasheria tena!
Mawakili ukitaka kujua ukali wao ni mahakamani na kwenye makaratasiAlianza Fatma na sasa ni zamu ya Jebra, je Nani atafuata? Bado tunao watu wa kariba hii miongoni mwenu? Wangapi?
Watanzania sijui tuko vipi katika masuala yetu na hata katika kutoa mawazo flani kuhusu ishu flani.Mawakili ukitaka kujua ukali wao ni mahakamani na kwenye makaratasi
Hao karume na Jebra wamevamia gani ya siasa ndio maana no wepesi Kama mlenda
Watawafungia uwakili lakini hawatawafungia mawazo yaoDuniani wanaitwa wasomi, Afrika wanaitwa wasomi ila Tanzania nachelea kuwaita wasomi.
Endapo mawakili mtashindwa kuungana nakupigania Uhuru wenu basi kitambo kidogo mtapigania kutoka gereza la fikra. Mkwamo wenu ni mkwamo wa jamii,nimkwamo wa Taifa. Natambua mna familia ila nawakumbusha kuwa mnakiapo ndani yenu pia. Mnayo nafasi yakulisimamia taifa kwenye milango ya mahakama na kuakikisha tunapata haki.
Alianza Fatma na sasa ni zamu ya Jebra, je Nani atafuata? Bado tunao watu wa kariba hii miongoni mwenu? Wangapi?
Ili kupata huruma kambole ametoa wito,lakini hati ya mashitaka ameificha,hao ndio mawakili wetu waliolewa siasaWatanzania sijui tuko vipi katika masuala yetu na hata katika kutoa mawazo flani kuhusu ishu flani.
Mfano kuhusu wakili jebra, sijaona mtu yeyote kazungumzia ishu ya kwa nini kapelekwa advocate committee, kosa Lake, halafu ndo watu tuanze hapo kuona kama ana tatizo au la.
Advocate committee anaweza pelekwa wakili kwa misconduct yoyote kati yake yeye na mteja, au attorney general, au jaji kutokana na aina ya misconduct ambayo huainishwa na yeye hupewa siku 14, kujibu, sijaona hyo charge sheet, na hata yeye majibu yake, ila hapa anaonyesha tu kuwa kama kuna sympathy flani anaitaka toka kwa wananchi.
Pia kumbuka tu kuwa hayo makosa anayotuhumiwa nayo japokuwa hayajulikani, bado ni tuhuma na hivyo anapewa Muda wa ku-defende all allegations na hivyo ni suala la Muda tu.
Ila niseme, kama kafanya kosa lolote, atahukumiwa tu kama watu wengine. Sheria ni msumemo. Kama hajafanya ataachiwa tu
Askofu au padre au mchungaji au hata shehe, kama anaunga mkono serikali, hata akitoa matamko ya kuunga mkono serikali, hakuna tatizo. Ole wake apingane au akosoe suala Fulani linaloshadidiwa na serikali, hasa serikali hii ya Magufuli, basi shida itaanzia hapo. Ataambiwa anachanganya dini na siasa, in mwanaharakati, nk.Jebra amekuwa mwanasiasa na mwanaharakati siyo mwanasheria tena!