HekimaniBusara
Member
- Mar 16, 2017
- 37
- 19
Hebu toa Masheria yako kwenye mstakabali wa nchi yetu! Acha wananchi wafanye kazi! Msituletee ya kuleta hapa. Sasa hivi dawa za kulevya zimeadimika tunataka ziishe kabisa!Kwa uelewa wangu, wananchi ndo kama mabosi wa serikali. TRA bila wananchi hawana mapato, Bandari bila wananchi hamna kazi, Mishahara ya serikali inategemea mapato toka kwa wananchi, bila uchaguzi rais asingekuwepo. Swali langu ni hivi, kisheria hamna jinsi kama wananchi tunaweza tukawaajibisha wanaovunja sheria kwa utumiaji wa mamlaka hovyo. Swali langu ni, is it possible to do a national 'boycott' of sort that can force the hand of people we clearly put in power to lead us and majukumu hayo wamefeli, legally of course.
kwahiyo unataka kusemaje!?Akili za mawakili ziliishia kumchagua Tundu ambaye alimtukana matusi Marehemu Baba wa taifa.
Ina maana hujawahi kusikia majina kama chenge,werema,ridhiwani,lissu,mwakyembe nchi ina wanasheria wengi tu mkuu juzi walikuwa a town kuchaguanaKiukweli sidhani kama hii nchi ina wanasheria sina uhakika