Mawakili, nawaombeni tushauriane kuhusu sakata la Mkuu wa Mkoa wa Dar

Mawakili, nawaombeni tushauriane kuhusu sakata la Mkuu wa Mkoa wa Dar

Joined
Mar 16, 2017
Posts
37
Reaction score
19
Kwa uelewa wangu, wananchi ndo kama mabosi wa serikali. TRA bila wananchi hawana mapato, Bandari bila wananchi hamna kazi, Mishahara ya serikali inategemea mapato toka kwa wananchi, bila uchaguzi rais asingekuwepo.

Swali langu ni hivi, kisheria hamna jinsi kama wananchi tunaweza tukawaajibisha wanaovunja sheria kwa utumiaji wa mamlaka hovyo.

Swali langu ni, is it possible to do a national 'boycott' of sort that can force the hand of people we clearly put in power to lead us and majukumu hayo wamefeli, legally of course.
 
Kwa uelewa wangu, wananchi ndo kama mabosi wa serikali. TRA bila wananchi hawana mapato, Bandari bila wananchi hamna kazi, Mishahara ya serikali inategemea mapato toka kwa wananchi, bila uchaguzi rais asingekuwepo. Swali langu ni hivi, kisheria hamna jinsi kama wananchi tunaweza tukawaajibisha wanaovunja sheria kwa utumiaji wa mamlaka hovyo. Swali langu ni, is it possible to do a national 'boycott' of sort that can force the hand of people we clearly put in power to lead us and majukumu hayo wamefeli, legally of course.
Hebu toa Masheria yako kwenye mstakabali wa nchi yetu! Acha wananchi wafanye kazi! Msituletee ya kuleta hapa. Sasa hivi dawa za kulevya zimeadimika tunataka ziishe kabisa!
 
Akili za mawakili ziliishia kumchagua Tundu ambaye alimtukana matusi Marehemu Baba wa taifa.
 
Kiukweli sidhani kama hii nchi ina wanasheria sina uhakika
Ina maana hujawahi kusikia majina kama chenge,werema,ridhiwani,lissu,mwakyembe nchi ina wanasheria wengi tu mkuu juzi walikuwa a town kuchaguana
 
Hamna kitu kama icho ndugu, bashite hajapigiwa kura na wananchi kachaguliwa na rais hivyo wakumfukuza kaz bashite ni raisi pekee, na ndokasema msimpangie lakufanya, otherwise chapen kaz achana na maumbea
 
Back
Top Bottom