Mawakili ndo wamemponza Dr. Slaa?

Mawakili ndo wamemponza Dr. Slaa?

Nyuma ya hii witch hunt ni deflection (kupoteza lengo). Right from the beginning, Serikali inamshikilia Dr. Slaa kwa nia ya kumkomoa, bila kujali haki zake za kisheria.

Don’t underestimate what a repressive government is capable of doing. Kumbuka, Dr. Slaa anakabiliwa na mashitaka ya kosa linalodhaminika. Hakukuwa na sababu yoyote ya msingi ya hakimu kusubilisha kwa siku tatu usikilizaji wa ombi la dhamana. Ni coordinated moves za repressive government. Office ya DPP ina track record ya usiginaji wa haki za watuhumiwa!
Safi sana…. Huyo Slaa afie jela na kamdomo kake
 
Watu wa karibu wamemwonya mama yenu kuhusu ishu ya huyo padre lakini yeye ametia kiburi.

Avune matunda ya kiburi chake, aache hizi propaganda za kutaka kuhamisha lawama kwa mawakili ya padre.
Yaani Rais aonywe kisa mzee mhuni Slaa?
 
View attachment 3229185

Dr. Wilbroad Peter Slaa bado yupo mahabusu mpaka sasa kutokana na Mawakili wake wanaoongozwa na Peter Madeleka kukosa weledi na kufanya harakati kwenye mambo ya kitaalam

Mzee Slaa ataendelea kusota mahabusu kutokana na kile kinachodaiwa kuwa "makosa ya kiweledi yaliyofanywa na Mawakili wake kukimbilia Mahakama Kuu kabla suala la dhamana halijaamuliwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kwa mambo yaliyokuwa yanaweza kutatuliwa katika Mahakama ya Kisutu bila kupoteza muda mwingi!"

Kwa ufupi, mazingira ya kesi ya Dr. Wilbroad Slaa yapo kama ifuatavyo:

Dr. Wilbroad Slaa alifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu tarehe 10 Januari, 2025 akikabiliwa na kosa moja la kusambaza taarifa za uongo mtandaoni.

Mara baada ya kusomewa Mashtaka, Mahakama ilipanga shauri hilo lirudi baada ya siku tatu yaani tarehe 13 Januari, 2025 ili iweze kusikiliza na kutolea maamuzi suala la dhamana ya Mtuhumiwa.

Katika hali ya kushangaza, kabla Mahakama haijasikiliza suala la dhamana, tarehe 13 Januari, 2025, Mawakili wa Dr. Slaa waliibuka na jambo jipya kwa kuweka pingamizi kwamba Hati ya Mashtaka iliyopo mahakamani haijakidhi vigezo vya sheria. Hivyo, Mahakama ilibidi kuweka pembeni suala la dhamana na kupanga tarehe ya kusikiliza pingamizi hilo la Hati ya Mashtaka ambalo kimsingi linagusa mamlaka ya mahakama (jurisdiction). Tarehe iliyopangwa ilikuwa 17 Januari, 2025.

Tarehe 17 Januari, 2025 pingamizi kuhusu Hati ya Mashtaka lilisikilizwa kwa pande zote mbili kufanya mawasilisho kisha Mahakama ilipanga kutoa maamuzi tarehe 23 Januari, 2025.

Mara baada ya Mahakama kutoa amri ya kuahirisha Shauri mpaka tarehe 23 January 2025, Mawakili wa Dr Slaa walionesha utovu wa nidhamu kinyume na Kanuni za maadili ya Mawakili kwa kumshambulia kwa maneno yasiyo na staha Mheshimiwa Hakimu. Wakiitaka Mahakama itoe maamuzi kuhusu dhamana siku hiyohiyo.

Ombi hilo lilikataliwa na Mahakama kwakuwa hoja waliyoibua wao wenyewe linagusa mamlaka ya mahakama na kwa mujibu wa sheria katika mazingira hayo lazima kwanza mahakama ijiridhishe juu ya mamlaka yake kabla ya jambo jingine lolote.

Kwa kukurupuka, tarehe 20 Januari, 2025 ikiwa ni kabla ya tarehe ya maamuzi ya Mahakama kwenye suala la Hati ya Mashtaka lililokuwa limepangwa tarehe 23 Januari, 2025, Mawakili wa Dr. Slaa walifungua maombi mawili (2) ya marejeo (Revision), kwa hati ya dharura, katika Mahakama Kuu ya Tanzania masjala ya Dar es Salaam wakipinga mwenendo wa shauri kwa ujumla na mwenendo wa suala la dhamana. Katika mazingira haya na kwa mujibu wa sheria na taratibu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu haikuwa na mamlaka ya kutoa maamuzi ya pingamizi yaliyopangwa kutolewa tarehe 23 Januari, 2025.

Tarehe 23 na 24 Januari, 2025 Mahakama Kuu ilisikiliza maombi yaliyowasilishwa na Mawakili wa Dr. Slaa na kutoa maamuzi tarehe 30 Januari, 2025.

Jamhuri haikuridhika na maamuzi ya Mahakama Kuu hivyo ilitoa Notisi ya Kukata Rufaa kwenda Mahakama ya Rufani kwa lengo la kupata tafsiri sahihi ya hoja za kisheria zilizoamriwa na Mahakama Kuu ambayo ni Mahakama ya kumbukumbu (court of record) na maamuzi yake yanafunga Mahakama za chini na yanaweza kutumika kwenye mashauri mengine yenye mfanano (precedent).

Kutokana na notisi hiyo ya Jamhuri, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ililazimika kusimamisha usikilizwaji wa shauri hilo, kama ambavyo ilifanyika wakati Mawakili wa Dr. Slaa walipowasilisha suala lao Mahakama Kuu mpaka Mahakama ya Rufani itakapotoa maamuzi na jalada husika kurejeshwa. Katika kipindi chote hiki Dr. Slaa ataendelea kubaki mahabusu.

Ni dhahiri kuwa, kwa maelezo hayo hapo juu, chanzo cha Dr. Slaa kuendelea kukaa mahabusu ni Mawakili wake kuweka mapingamizi yasiyo na msingi pamoja na kupeleka suala hili Mahakama Kuu ambako kumezalisha maamuzi yanayopingwa na Jamhuri.

Iwapo wangesubiri kwa siku tatu maamuzi ya dhamana yatolewe pengine leo Dr. Slaa angekuwa nje huku akiendelea na kesi yake ya msingi.

Aidha, Mawakili wangekuwa weledi, wangeibua mapingamizi yao mara baada ya suala la dhamana kuamriwa.

Katika mambo ambayo Mawakili wa Dr Slaa walienda nayo Mahakama Kuu, moja ilikuwa ni kuitaka Mahakama Kuu itamke kuwa Hakimu anayesikikiza shauri hakuwa na uwezo (competency) hivyo asiendelee na shauri hilo! Suala hilo kimsingi lingeweza kuamuriwa na Mahakama ya Kisutu na wangewasilisha maombi yao kuomba Mhe. Hakimu anayesikikiza shauri ajitoe kama hawaridhiki na mwenendo wake, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ingetoa maamuzi kuhusu suala hilo pamoja na suala la dhamana au suala jingine lolote liwalo kwa wakati na hatua nyingine stahiki zingeendelea kulingana na maamuzi husika.

Upande wa Jamhuri hauwezi kulaumiwa kwa namna yoyote katika hili, Dr Slaa anateseka kwa uchaguzi wa Mawakili wanaomponza na kumsababishia aendelee kusota Mahabusu!

Maneno mengi upumbavu mtupu, huyo Mzee anatakiwa awe nje, full stop
 
Sababu ya kwanza na ya pekee tokea mwanzo ni mahakama kutompa dhamana Dr Slaa.
 
Ukiachana Na Mawakili Kumponza Dr Slaa,,,Inawezekana Pia Labda Dr Slaa Ndio Anawaponza Mawakili Wake!!###WazoHuru###
 
tukiongea wengi huwa wanasema tuna wivu, ila ukweli ni kwamba, hakuna wakili kilaza kama MADELEKA, na inawezekana hatakuja kutokea tena. tuambieni kesi ngapi ameshinda kama sio kujitangaza yeye tu na kila kesi anayoshika huwa wateja wake wanaumia. watu wanashindwa kumwambia ila anatuaibisha sana mawakili.
Hawa ni wale wanasheria maarufu.
 
Safi sana…. Huyo Slaa afie jela na kamdomo kake
Ukitengeneza mfumo wa haki jinai, tengeneza mfumo ambao hata ikitokea siku moja ukawa mmoja wa watuhumiwa usijute kwamba ulijichimbia kaburi. Ukitaka kujua umuhimu wa hili waulize watawala walioishia kuumizwa na mifumo ya kishenzi waliyoitengeneza wao wenyewe!
 
huyu mzee naye anayataka mwenyewe umri huo wakukaa na wajukuu yeye anashinda mitandaoni na clubhouse kuisema serikali wacha ale alichokipanda
Wapumbavu kama nyie ndo mmatusumbua hapa Tanzania
 
Kwanini usimshauri Mzee Wasira huo ujumbe?!
Yule Wassira kateuliwa, yaani CCM inahitaji msaada na uzoefu wake. Dr Slaa ANAROPOKA tu kwa vile hana mke. Mkewe Mushumbushi na watoto wamebaki Canada. Stress ndiyo zinamfanya aropoke tu
 
Ukitengeneza mfumo wa haki jinai, tengeneza mfumo ambao hata ikitokea siku moja ukawa mmoja wa watuhumiwa usijute kwamba ulijichimbia kaburi. Ukitaka kujua umuhimu wa hili waulize watawala walioishia kuumizwa na mifumo ya kishenzi waliyoitengeneza wao wenyewe!
Slaa anastahili huu unyama maana nayeye ni mnyama.
 
View attachment 3229185

Dr. Wilbroad Peter Slaa bado yupo mahabusu mpaka sasa kutokana na Mawakili wake wanaoongozwa na Peter Madeleka kukosa weledi na kufanya harakati kwenye mambo ya kitaalam

Mzee Slaa ataendelea kusota mahabusu kutokana na kile kinachodaiwa kuwa "makosa ya kiweledi yaliyofanywa na Mawakili wake kukimbilia Mahakama Kuu kabla suala la dhamana halijaamuliwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kwa mambo yaliyokuwa yanaweza kutatuliwa katika Mahakama ya Kisutu bila kupoteza muda mwingi!"

Kwa ufupi, mazingira ya kesi ya Dr. Wilbroad Slaa yapo kama ifuatavyo:

Dr. Wilbroad Slaa alifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu tarehe 10 Januari, 2025 akikabiliwa na kosa moja la kusambaza taarifa za uongo mtandaoni.

Mara baada ya kusomewa Mashtaka, Mahakama ilipanga shauri hilo lirudi baada ya siku tatu yaani tarehe 13 Januari, 2025 ili iweze kusikiliza na kutolea maamuzi suala la dhamana ya Mtuhumiwa.

Katika hali ya kushangaza, kabla Mahakama haijasikiliza suala la dhamana, tarehe 13 Januari, 2025, Mawakili wa Dr. Slaa waliibuka na jambo jipya kwa kuweka pingamizi kwamba Hati ya Mashtaka iliyopo mahakamani haijakidhi vigezo vya sheria. Hivyo, Mahakama ilibidi kuweka pembeni suala la dhamana na kupanga tarehe ya kusikiliza pingamizi hilo la Hati ya Mashtaka ambalo kimsingi linagusa mamlaka ya mahakama (jurisdiction). Tarehe iliyopangwa ilikuwa 17 Januari, 2025.

Tarehe 17 Januari, 2025 pingamizi kuhusu Hati ya Mashtaka lilisikilizwa kwa pande zote mbili kufanya mawasilisho kisha Mahakama ilipanga kutoa maamuzi tarehe 23 Januari, 2025.

Mara baada ya Mahakama kutoa amri ya kuahirisha Shauri mpaka tarehe 23 January 2025, Mawakili wa Dr Slaa walionesha utovu wa nidhamu kinyume na Kanuni za maadili ya Mawakili kwa kumshambulia kwa maneno yasiyo na staha Mheshimiwa Hakimu. Wakiitaka Mahakama itoe maamuzi kuhusu dhamana siku hiyohiyo.

Ombi hilo lilikataliwa na Mahakama kwakuwa hoja waliyoibua wao wenyewe linagusa mamlaka ya mahakama na kwa mujibu wa sheria katika mazingira hayo lazima kwanza mahakama ijiridhishe juu ya mamlaka yake kabla ya jambo jingine lolote.

Kwa kukurupuka, tarehe 20 Januari, 2025 ikiwa ni kabla ya tarehe ya maamuzi ya Mahakama kwenye suala la Hati ya Mashtaka lililokuwa limepangwa tarehe 23 Januari, 2025, Mawakili wa Dr. Slaa walifungua maombi mawili (2) ya marejeo (Revision), kwa hati ya dharura, katika Mahakama Kuu ya Tanzania masjala ya Dar es Salaam wakipinga mwenendo wa shauri kwa ujumla na mwenendo wa suala la dhamana. Katika mazingira haya na kwa mujibu wa sheria na taratibu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu haikuwa na mamlaka ya kutoa maamuzi ya pingamizi yaliyopangwa kutolewa tarehe 23 Januari, 2025.

Tarehe 23 na 24 Januari, 2025 Mahakama Kuu ilisikiliza maombi yaliyowasilishwa na Mawakili wa Dr. Slaa na kutoa maamuzi tarehe 30 Januari, 2025.

Jamhuri haikuridhika na maamuzi ya Mahakama Kuu hivyo ilitoa Notisi ya Kukata Rufaa kwenda Mahakama ya Rufani kwa lengo la kupata tafsiri sahihi ya hoja za kisheria zilizoamriwa na Mahakama Kuu ambayo ni Mahakama ya kumbukumbu (court of record) na maamuzi yake yanafunga Mahakama za chini na yanaweza kutumika kwenye mashauri mengine yenye mfanano (precedent).

Kutokana na notisi hiyo ya Jamhuri, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ililazimika kusimamisha usikilizwaji wa shauri hilo, kama ambavyo ilifanyika wakati Mawakili wa Dr. Slaa walipowasilisha suala lao Mahakama Kuu mpaka Mahakama ya Rufani itakapotoa maamuzi na jalada husika kurejeshwa. Katika kipindi chote hiki Dr. Slaa ataendelea kubaki mahabusu.

Ni dhahiri kuwa, kwa maelezo hayo hapo juu, chanzo cha Dr. Slaa kuendelea kukaa mahabusu ni Mawakili wake kuweka mapingamizi yasiyo na msingi pamoja na kupeleka suala hili Mahakama Kuu ambako kumezalisha maamuzi yanayopingwa na Jamhuri.

Iwapo wangesubiri kwa siku tatu maamuzi ya dhamana yatolewe pengine leo Dr. Slaa angekuwa nje huku akiendelea na kesi yake ya msingi.

Aidha, Mawakili wangekuwa weledi, wangeibua mapingamizi yao mara baada ya suala la dhamana kuamriwa.

Katika mambo ambayo Mawakili wa Dr Slaa walienda nayo Mahakama Kuu, moja ilikuwa ni kuitaka Mahakama Kuu itamke kuwa Hakimu anayesikikiza shauri hakuwa na uwezo (competency) hivyo asiendelee na shauri hilo! Suala hilo kimsingi lingeweza kuamuriwa na Mahakama ya Kisutu na wangewasilisha maombi yao kuomba Mhe. Hakimu anayesikikiza shauri ajitoe kama hawaridhiki na mwenendo wake, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ingetoa maamuzi kuhusu suala hilo pamoja na suala la dhamana au suala jingine lolote liwalo kwa wakati na hatua nyingine stahiki zingeendelea kulingana na maamuzi husika.

Upande wa Jamhuri hauwezi kulaumiwa kwa namna yoyote katika hili, Dr Slaa anateseka kwa uchaguzi wa Mawakili wanaomponza na kumsababishia aendelee kusota Mahabusu!
Kuna Mbunge wa ccm aliwahi kukamatwa na lundo la bunduki za kuwindia wanyama pori wakati wa Magufuli, na hilo ni kosa la uhujumu uchumi moja kwa moja, vipi ulisikia amekosa dhamana ?
 
Kwa nini wamnyime dhamana tuanzie hapa. Yes Madeleka ameanza kuota mapembe anaona kila jambo ni mzaha!
 
huyu mzee naye anayataka mwenyewe umri huo wakukaa na wajukuu yeye anashinda mitandaoni na clubhouse kuisema serikali wacha ale alichokipanda
Umri sahihi wa kulea wajukuu ni upi?

Kikwete na Slaa nani mzee kuzidi mwenzake?

Ushauri kama huu kwanini haujawahi kuutoa kwa Rtd Kikwete na wazee aina yake kama Wasira wasioishiwa teuzi hata baada ya kustaafu?

Hon Slaa si wa kudhihakiwa kwa kejeli zenu mafisadi ama wanufaika wa Serilikali zisizojali haki na uhuru wa raia wake.

Dr. Slaa hapiganii maslahi ya tumbo lake, bali maslahi mapana ya umma, anastahili shime na si kejeli zenu hizo za reja reja.
 
Yule Wassira kateuliwa, yaani CCM inahitaji msaada na uzoefu wake. Dr Slaa ANAROPOKA tu kwa vile hana mke. Mkewe Mushumbushi na watoto wamebaki Canada. Stress ndiyo zinamfanya aropoke tu
Hizo ni Propaganda za CCM.
 
Hata Dr Slaa mwenyewe ana udini sana ktk siasa zake. Kwa nini anafungua domo sana kipindi akitawala kiongozi muislam? Akiwa mkristo kama alivokuwa Magufuri anaungana na serikali why?
 
Back
Top Bottom