Mawakili ndo wamemponza Dr. Slaa?

Safi sana…. Huyo Slaa afie jela na kamdomo kake
 
Watu wa karibu wamemwonya mama yenu kuhusu ishu ya huyo padre lakini yeye ametia kiburi.

Avune matunda ya kiburi chake, aache hizi propaganda za kutaka kuhamisha lawama kwa mawakili ya padre.
Yaani Rais aonywe kisa mzee mhuni Slaa?
 

Maneno mengi upumbavu mtupu, huyo Mzee anatakiwa awe nje, full stop
 
Sababu ya kwanza na ya pekee tokea mwanzo ni mahakama kutompa dhamana Dr Slaa.
 
Ukiachana Na Mawakili Kumponza Dr Slaa,,,Inawezekana Pia Labda Dr Slaa Ndio Anawaponza Mawakili Wake!!###WazoHuru###
 
Hawa ni wale wanasheria maarufu.
 
Safi sana…. Huyo Slaa afie jela na kamdomo kake
Ukitengeneza mfumo wa haki jinai, tengeneza mfumo ambao hata ikitokea siku moja ukawa mmoja wa watuhumiwa usijute kwamba ulijichimbia kaburi. Ukitaka kujua umuhimu wa hili waulize watawala walioishia kuumizwa na mifumo ya kishenzi waliyoitengeneza wao wenyewe!
 
huyu mzee naye anayataka mwenyewe umri huo wakukaa na wajukuu yeye anashinda mitandaoni na clubhouse kuisema serikali wacha ale alichokipanda
Wapumbavu kama nyie ndo mmatusumbua hapa Tanzania
 
Kwanini usimshauri Mzee Wasira huo ujumbe?!
Yule Wassira kateuliwa, yaani CCM inahitaji msaada na uzoefu wake. Dr Slaa ANAROPOKA tu kwa vile hana mke. Mkewe Mushumbushi na watoto wamebaki Canada. Stress ndiyo zinamfanya aropoke tu
 
Slaa anastahili huu unyama maana nayeye ni mnyama.
 
Kuna mahakama Nchi hii kweli,au Kuna magenge ya ofisi na wanachama wa CCM
 
Kuna Mbunge wa ccm aliwahi kukamatwa na lundo la bunduki za kuwindia wanyama pori wakati wa Magufuli, na hilo ni kosa la uhujumu uchumi moja kwa moja, vipi ulisikia amekosa dhamana ?
 
Kwa nini wamnyime dhamana tuanzie hapa. Yes Madeleka ameanza kuota mapembe anaona kila jambo ni mzaha!
 
huyu mzee naye anayataka mwenyewe umri huo wakukaa na wajukuu yeye anashinda mitandaoni na clubhouse kuisema serikali wacha ale alichokipanda
Umri sahihi wa kulea wajukuu ni upi?

Kikwete na Slaa nani mzee kuzidi mwenzake?

Ushauri kama huu kwanini haujawahi kuutoa kwa Rtd Kikwete na wazee aina yake kama Wasira wasioishiwa teuzi hata baada ya kustaafu?

Hon Slaa si wa kudhihakiwa kwa kejeli zenu mafisadi ama wanufaika wa Serilikali zisizojali haki na uhuru wa raia wake.

Dr. Slaa hapiganii maslahi ya tumbo lake, bali maslahi mapana ya umma, anastahili shime na si kejeli zenu hizo za reja reja.
 
Yule Wassira kateuliwa, yaani CCM inahitaji msaada na uzoefu wake. Dr Slaa ANAROPOKA tu kwa vile hana mke. Mkewe Mushumbushi na watoto wamebaki Canada. Stress ndiyo zinamfanya aropoke tu
Hizo ni Propaganda za CCM.
 
Hata Dr Slaa mwenyewe ana udini sana ktk siasa zake. Kwa nini anafungua domo sana kipindi akitawala kiongozi muislam? Akiwa mkristo kama alivokuwa Magufuri anaungana na serikali why?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…