PostGE2025 Mawakili wa kesi ya John Heche waomba ahirisho, kesi kuendelea Novemba 13,2025

PostGE2025 Mawakili wa kesi ya John Heche waomba ahirisho, kesi kuendelea Novemba 13,2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Jopo la mawakili linalomuwakilisha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche linaolongozwa na Wakili Selemani Matauka limeomba ahirisho kuhusu pingamizi lililowekwa na upande wa Jamhuri juu ya maombi ya Mwenyekiti huyo dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini.

Hatahivyo Jopo la mawakili wa Jamhuri walikubali ombi hilo na mahakama kuamua kuahrisha Kesi hiyo mpaka Alhamisi Novemba 13, 2025.
 
Maombi ya jinai namba 26287/2025, Makamu Mwenyekiti John Heche dhidi ya IGP na wenzake imeendelea leo Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam tarehe 10 Novemba 2025 ambapo upande wa wajibu maombi umeleta kiapo kinzani kama walivyoomba na Mahakama ilivyowaelekeza. Pamoja na kuleta kiapo hicho lep upande wa wajibu maombi umeweka pingamizi la kisheria. Kesi imeahirishwa mpaka tarehe 13 Novemba 2025.

 
Jopo la mawakili linalomuwakilisha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche linaolongozwa na Wakili Selemani Matauka limeomba ahirisho kuhusu pingamizi lililowekwa na upande wa Jamhuri juu ya maombi ya Mwenyekiti huyo dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini. Hatahivyo Jopo la mawakili wa Jamhuri walikubali ombi hilo na mahakama kuamua kuahrisha Kesi hiyo mpaka Alhamisi Novemba 13, 2025.
Serikali ya CCM inakiogopa chama cha chadema saana
 
Back
Top Bottom