Mawakili wa Lissu wamfungulia kesi Kamishna wa Magereza na Mkuu wa Gereza kuu la Ukonga

Nilisha Sema humu ndani kitambo sana. Chadema inapaswa kuwa na mawakili katika Kila kijijini cha nchi hii ambao watasimamia haki za wanachama wao. Vijijini havizidi 144k navIkitokea wanachama wanaonewa, nchi nchi nzima inakuwa ni mtanange wa kisheria. Ni ghali , lakini hiyo ndiyo njia nyepesi ya kuvuna na ku retain wanachama ktk Kila kijiji nchini humu. CDM wasiseme ni ghali sana kwa sababu kuna kitu inaitwa pro bono work- kufanya kazi za kisheria kwa kujitolea na kupigania haki za watu. Kama hamuwezi, niiteni Mimi nije kuwasaidia na kuwawekea mifumo ya kazi kwa viwango vya kimataifa na kitaifa. Hii serikali yetu twende nayo mdogo mdogo , tutafika tu- tuwapelekee moto Kila kona hadi wateme bungo ktk Kila Nyanja. Ni hayo tu…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…