Mawakili wa Lissu wanaunguruma muda huu baada ya kushinda kesi

Mawakili wa Lissu wanaunguruma muda huu baada ya kushinda kesi

Nyakijooga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
524
Reaction score
829
Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dodoma, iliyoketi Dar es Salaam leo, Ijumaa, Oktoba 16, 2026, kutoa uamuzi katika Shauri la Kikatiba Na. 7300/26, mawakili wa Tundu Lissu ambao walifungua kesi wanazungumza na waandishi wa habari muda huu.


View: https://www.youtube.com/live/wzhmh7vbOSI?si=8Oga6sL0vzEXe6Hl

Shauri hilo lilifunguliwa na Wakili Maduhu William na wenzake wawili dhidi ya Kamishna Jenerali wa Magereza (CGP), Mkuu wa Gereza la Ukonga na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG).
 
Back
Top Bottom