Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dodoma, iliyoketi Dar es Salaam leo, Ijumaa, Oktoba 16, 2026, kutoa uamuzi katika Shauri la Kikatiba Na. 7300/26, mawakili wa Tundu Lissu ambao walifungua kesi wanazungumza na waandishi wa habari muda huu.