Kunawatu wanapenda kulalamika na kudeka kama watoto yatima. Aliyeko jela katulia anaaminia mawakili wake watu huku fulu kuwashwa!!
Vijana shupavu kwenye taifa wangesimama na kudai katiba mpya yenye kutoaa usawa kwa kula mwananchi na isiyompa hati miliki ya nchi MTU mmoja!!
Unampa MTU miguvuuu alafu unaanza kumnyenyekea nayeye anakwambia nitawaangalia kwajicho la huruma...what a hell?? Tumekuwa wapumbafu kuliko enzi za mkoloni mweupe!!
Nchi zenye KATIBA DHAIFU hujaa siasa za hovyo,taasisi mfu,viongozi wezi na huwa rais anasifiwa,anaogopwa,anachosema kinafatwa kuliko ilivyo kwa Muumba wetu. Tizama ki "DC" tuu kinaweza tesa watu na wakakosa chakumfanya!! Very stupid and very strange.
Ingekuwa vyeo hagawi MTU kwa maslai yake Leo haki ingepata urahisi kutendwa na kuonekana imetendeka!!