chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Naona chadema imejitolea kikosi cha mawakili wanaowawakilisha makada wake katika kesi nyingi, ili sasa wamuwakilishe Luhqga Mpina katika kesi zinazohusu mambo ya sukari, pia kesi inayohusu Mpina kufukuzwa Bungeni.
Haijafahamika kwa nini Mpina amechagua mawakili wenye mlengo na itikadi za chadema, akawaacha wasio na itikadi za siasa, au wale wa CCM
Haijafahamika kwa nini Mpina amechagua mawakili wenye mlengo na itikadi za chadema, akawaacha wasio na itikadi za siasa, au wale wa CCM