Mawakili wapya 2018 wapokelewa na Jaji Mkuu

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Mawakili wapya kupokelewa na jaji mkuu 14-12-2018 pale Law school of Tanzania.
Mawakili hawa wapo 909 na wengi ni Majaji wastaafu,Mahakimu na ma afisa wengi wa serikali.

Balozi Valentino mlowola PCCB,Ritha Tarimo,Mwerinde ni baadhi ya ma afisa watakao apishwa.

Serikali ilipiga marufuku mawakili wa Serikali na wote wanaofanya serikalini ku-practice lakini sasa hawa majaji kwa ubinafsi wao wameamua kubania wanafunzi wa LST na wao Kuapishwa ili kuwahi Seniority.

Jambo hili alianzisha AG Werema baada ya kuona mwanae Jacline Werema atakuwa seniour kwake',alipo apishwa tu akapiga marufuku,leo hii wamerudisha hatujui kesho watafuta tena kwakuwa hakuna wa kuwauliza wala kuwakemea.

--------------------------------------++++-++-+++------
Ukiangalia kwa undani Hawa mawakili wa Serikali (Majina kapuni) ndio wamiliki wa ofisi nyingi za sheria Tanzania na wao ndio huaribu kesi nyingi za jinai ikifika rufaa basi huzichukua na kushinda(hujua grounds of appeal).

Katika kosa kubwa na hili lazma J Magufuli ajue,Mawakili wa manispaa(Solicitors) na Serikali huusika kwa zaidi ya nusu kwa kesi za serikali kushindwa .Hawa wanafanya kazi ilimradi na mwisho wa mwezi wanakinga salary,they don't care to win or lose case on merit.

Mawakili hawa wa serikali kila kukicha wanauza NOLE PROSEQUI kutegemeana na na kosa.Kesi ya mauaji NOLE nimilioni 3 ambapo hugawana Incharge,aliye leta wazo na kuna bwana fani hivi.

Naishauri serikali,kuchukua mawakili w serikali waangalie wito na mambo ya maadili,Mtu anaingia kazin hana hata mwaka ana mali sawa na mstaafubwa TRL,haulizwi bali anasifiwa tu,TISS mpo wapi maana PCCB hamna kitu.

Polisi statements and exibits(Maelezo ya polisi na vithibiti) ndio huwa vinaua kesi za jinai,NAKUOMBA MAGUFULI NIPO chini ya miguu yako,Hawa polisi wasaliti futa kazi.

Nawataki uwakili wema,Msaidieni JPM kwenye ujenzi wa nchi na pia katika kudumisha amani.
 
Ni aibu kwa serikali iliopata uhuru miaka 54 lakini bado ina mabakizi ya sheria za mkoloni.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Umeharibu unapomuingiza muuaji atoe msaada! Ulianza vizuri, lkn "unamsifia" muuaji..... hapana
 
Mkuu naomba kuuliiza kama unafahamu ofisi za sheria zilizopo mbeya mjini..
Naomba na majina kama unafahamu itakua rahisi kuwafikia
 
yupo wakili Mpoki, ukifik atu hapo Posta utampata
 
Ila mawakil wa serikal acha wapewe ya kubrash viatu haki yao, nakaaga kisutu pale namuangalia kibatala anatembelea discovere new model,, Huku kina mwenzangu na mimi wengine wanagombania daladala,

Mtu km huyo akipewa milioni kadhaa ataziacha kweli,,
 
Mmh Mina huyo ni wewe kwenye avatar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom