Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Mawakili wapya kupokelewa na jaji mkuu 14-12-2018 pale Law school of Tanzania.
Mawakili hawa wapo 909 na wengi ni Majaji wastaafu,Mahakimu na ma afisa wengi wa serikali.
Balozi Valentino mlowola PCCB,Ritha Tarimo,Mwerinde ni baadhi ya ma afisa watakao apishwa.
Serikali ilipiga marufuku mawakili wa Serikali na wote wanaofanya serikalini ku-practice lakini sasa hawa majaji kwa ubinafsi wao wameamua kubania wanafunzi wa LST na wao Kuapishwa ili kuwahi Seniority.
Jambo hili alianzisha AG Werema baada ya kuona mwanae Jacline Werema atakuwa seniour kwake',alipo apishwa tu akapiga marufuku,leo hii wamerudisha hatujui kesho watafuta tena kwakuwa hakuna wa kuwauliza wala kuwakemea.
--------------------------------------++++-++-+++------
Ukiangalia kwa undani Hawa mawakili wa Serikali (Majina kapuni) ndio wamiliki wa ofisi nyingi za sheria Tanzania na wao ndio huaribu kesi nyingi za jinai ikifika rufaa basi huzichukua na kushinda(hujua grounds of appeal).
Katika kosa kubwa na hili lazma J Magufuli ajue,Mawakili wa manispaa(Solicitors) na Serikali huusika kwa zaidi ya nusu kwa kesi za serikali kushindwa .Hawa wanafanya kazi ilimradi na mwisho wa mwezi wanakinga salary,they don't care to win or lose case on merit.
Mawakili hawa wa serikali kila kukicha wanauza NOLE PROSEQUI kutegemeana na na kosa.Kesi ya mauaji NOLE nimilioni 3 ambapo hugawana Incharge,aliye leta wazo na kuna bwana fani hivi.
Naishauri serikali,kuchukua mawakili w serikali waangalie wito na mambo ya maadili,Mtu anaingia kazin hana hata mwaka ana mali sawa na mstaafubwa TRL,haulizwi bali anasifiwa tu,TISS mpo wapi maana PCCB hamna kitu.
Polisi statements and exibits(Maelezo ya polisi na vithibiti) ndio huwa vinaua kesi za jinai,NAKUOMBA MAGUFULI NIPO chini ya miguu yako,Hawa polisi wasaliti futa kazi.
Nawataki uwakili wema,Msaidieni JPM kwenye ujenzi wa nchi na pia katika kudumisha amani.