Mawakili washindwa Kesi ya kuzuia Uchaguzi wa TFF, Uchaguzi kuendelea kesho Tanga

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mawakili waliofungua kesi ya kusimamisha uchaguzi mkuu wa TFF ambao unatarajia kufanyika siku ya kesho wameshindwa kesi, Mawakili hao wametakiwa pia kulipa gharama za kesi.

Uchaguzi Mkuu wa TFF utaendelea kama kawaida siku ya kesho ya Agosti 16 hapa Jijini Tanga katika Hoteli ya Tanga Beach Resort.

IMG_5926.jpeg
 
View attachment 3442327
Mitano tena kwa karia
 
Karia and CO. LTD watakuwa wamefurahi sana pamoja na kuvunja kwao kanuni za Baraza la Michezo nchini la kuwataka viongozi wa vyama vya michezo kuhudumu kwa vipindi viwili pekee.
 
Mawakili waliofungua kesi ya kusimamisha uchaguzi mkuu wa TFF ambao unatarajia kufanyika siku ya kesho wameshindwa kesi, Mawakili hao wametakiwa pia kulipa gharama za kesi.

Uchaguzi Mkuu wa TFF utaendelea kama kawaida siku ya kesho ya Agosti 16 hapa Jijini Tanga katika Hoteli ya Tanga Beach Resort.

View attachment 3442327
Mawakili wa Yanga-CCM
 
Uchaguzi unaendelea uku Karia hana wa kushindana nae Sasa wanachagua Karia dhidi ya nani?
 
Back
Top Bottom