Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mitano tena kwa kariaMawakili waliofungua kesi ya kusimamisha uchaguzi mkuu wa TFF ambao unatarajia kufanyika siku ya kesho wameshindwa kesi, Mawakili hao wametakiwa pia kulipa gharama za kesi.
Uchaguzi Mkuu wa TFF utaendelea kama kawaida siku ya kesho ya Agosti 16 hapa Jijini Tanga katika Hoteli ya Tanga Beach Resort.
View attachment 3442327
Divide and rulekwanini ifanyike tanga huyu nae kila kitu tanga tanga kuna nini huko ambacho hakipo iringa au mwanza
Mawakili wa Yanga-CCMMawakili waliofungua kesi ya kusimamisha uchaguzi mkuu wa TFF ambao unatarajia kufanyika siku ya kesho wameshindwa kesi, Mawakili hao wametakiwa pia kulipa gharama za kesi.
Uchaguzi Mkuu wa TFF utaendelea kama kawaida siku ya kesho ya Agosti 16 hapa Jijini Tanga katika Hoteli ya Tanga Beach Resort.
View attachment 3442327