JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Mama Mabula, wewe kama wewe uje na plan za kumaliza tatizo. Huyo unayempa wajibu huo inawezekana uwezo wake wa kufikiri kutatua hilo ni mdogo. Katika management tunafundishwa kuwa kazi kubwa ya Manager or for that matter CEO, wa kampuni or any institution ni ku formulate policies so that the objectives of the institution are met! Lukuvi alikaribia sana kutimiza wajibu wa manager. He was coming with a solution na si matamko.Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewataka mawakili kuharakisha kesi za ardhi zaidi ya 2,000 ambazo zina Mawakili wanaosimamia kwa niaba ya wateja wao.
Waziri Angella Mabula amsemea: “Katika mashauri 3000 yaliyochukua zaidi ya miaka miwili, 2,000 kati yao ni yale ambayo yanasimamiwa na Mawakili wanaowakilisha wateja wao.
Baadhi ya mawakili hawaweki nia ya dhati ya kuwezesha umalizaji wa mashauri hayo kwa wakati na hayo ndiyo yanayochelewa, tunatakiwa kujiuliza kuna nini hapo.
Katibu Mkuu naomba uangalize kwa jicho la tatu mabaraza yote ya Dar es Salaam kwa kuwa ndiko kuna migogoro mingi ya ardhi.
Chanzo: Azam TV
Nikweli, kesi nyingi zinawekwa mahakamani na mawakiri.Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewataka mawakili kuharakisha kesi za ardhi zaidi ya 2,000 ambazo zina Mawakili wanaosimamia kwa niaba ya wateja wao.
Waziri Angella Mabula amsemea: “Katika mashauri 3000 yaliyochukua zaidi ya miaka miwili, 2,000 kati yao ni yale ambayo yanasimamiwa na Mawakili wanaowakilisha wateja wao.
Baadhi ya mawakili hawaweki nia ya dhati ya kuwezesha umalizaji wa mashauri hayo kwa wakati na hayo ndiyo yanayochelewa, tunatakiwa kujiuliza kuna nini hapo.
Katibu Mkuu naomba uangalize kwa jicho la tatu mabaraza yote ya Dar es Salaam kwa kuwa ndiko kuna migogoro mingi ya ardhi.
Chanzo: Azam TV
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , ukitaka ufanikiwe kwa hili badili mahakama za mabaraza ya ardhi wilaya ziwe mahakama kamili na ziwe na mahakimu kamili.Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewataka mawakili kuharakisha kesi za ardhi zaidi ya 2,000 ambazo zina Mawakili wanaosimamia kwa niaba ya wateja wao.
Waziri Angella Mabula amsemea: “Katika mashauri 3000 yaliyochukua zaidi ya miaka miwili, 2,000 kati yao ni yale ambayo yanasimamiwa na Mawakili wanaowakilisha wateja wao.
Baadhi ya mawakili hawaweki nia ya dhati ya kuwezesha umalizaji wa mashauri hayo kwa wakati na hayo ndiyo yanayochelewa, tunatakiwa kujiuliza kuna nini hapo.
Katibu Mkuu naomba uangalize kwa jicho la tatu mabaraza yote ya Dar es Salaam kwa kuwa ndiko kuna migogoro mingi ya ardhi.
Chanzo: Azam TV
Kama hujui kitu bora kunyamaza kwani mawakili ndiyo wenye mamlaka au wanapanga tarehe au wenyeviti wa mabaraza.Ni hela tu wanakula
Kama hujui kitu bora kunyamaza kwani mawakili ndiyo wenye mamlaka au wanapanga tarehe au wenyeviti wa mabaraza.