Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 2,026
- 4,450
- Thread starter
-
- #21
Cool🤣🤣Umeanza kuonyesha upeo wako ulivoo ..asa uboya kivip na huku mm nimekubali wewe uelewe ulivo elewa
🤣🤣👏👏Cool🤣🤣
Unapiga vikali au beer🍻 mkuu?Tupige vyombo kuupokea mwaka mpya.
Kwakweli nahisi nahitaji therapy maana it's so hard to keep up with other. Si ndugu wala washkaji sichelewi kufuta namba
I hope your an introvert type of a person.Kwakweli nahisi nahitaji therapy maana it's so hard to keep up with other. Si ndugu wala washkaji sichelewi kufuta namba
Nafikiri uyo ndio wewe Criston ColeKwakweli nahisi nahitaji therapy maana it's so hard to keep up with other. Si ndugu wala washkaji sichelewi kufuta namba
No acha tu niwe hivi hivi sipendi kua attached sana na vitu. Hakuna kitu kinaniumiza kama kuona nafosi mawasiliano na watu. Ndio maana Twitter na insta zimenishinda kutumia.Nafikiri uyo ndio wewe Criston Cole
Unapenda sana kudeal na kuinterpret yale yanayotokea ndani ya mwili wako ya kihusisha thoughts, ideas, pamoja feelings kuliko ya nje ya mwili wako.
May be unatakiwa ujenge utamaduni wa kuinteract na watu sahihi kwa muda sahihi angalau 1 hour per day inatosha. Lakini hakikisha that one hour unaitumia effectively hili kuweza kuimprove communication skills yako na kubuild a strong relationship with others.
That's it Pal'🙏.
Nafikiri utakuwa unakumbuka discussion yetu ya mwisho kuhusu mazingira kwenye Uzi wako waNo acha tu niwe hivi hivi sipendi kua attached sana na vitu. Hakuna kitu kinaniumiza kama kuona nafosi mawasiliano na watu. Ndio maana Twitter na insta zimenishinda kutumia.
Wasap huko ndio peupe kabisa sina group wala chats.
Kwanza, Happy new year too Sir 🎊🎉✌️👏Heri ya mwaka mpya Sir. Ndio natoka kanisani since morning.
Ahsante sana mkuu mwaka 2022 ndio nimeanza kuingiliana na watu kwakweli I'm so disappointed. I don't fitKwanza, Happy new year too Sir 🎊🎉✌️👏
Pili, nikupongeze kwa kuanza mwaka kwa maombi, sala na kushukuru. Kwa kujua kuwa wewe Criston Cole unapumua sio kwa nguvu zako bali ni kwa neema ya Mungu.
Basi hakika ukawe mwaka wako wa mafanikio tele na fanaka katika nyanja zote tatu kiroho, kimwili na kiakili.
Mwenyezi Mungu akubariki na kukuongezea hekima, busara na unyenyekevu zaidi, ukapate kukutana na kuinteract na watu sahihi kwenye cycle sahihi.
All is possible if you believe, tell me if you would believe Sir🙏.
Ahsante kwa kushukuru Sir🙏Ahsante sana mkuu mwaka 2022 ndio nimeanza kuingiliana na watu kwakweli I'm so disappointed. I don't fit
Ok,I'm so disappointed. I don't fit
I know It's very painful Sir😔😔For instance, Today I encountered the black lash from a person I was forced to communicate with. My father.
So I won't force communication with anyone. Never
Did you accepted it, to live alone a whole of your a life Sir.My fate of being alone is sealed sir. Can't be changed
When she didn't come to you!Yeah I accepted it Until harakati za siri came in
Your cave, means to live alone forever and ever Pal'.Since she left. I don't have alternative. So I'm back in my cave!
You must have an alternative Sir, because most of the women are unpredictable.I don't have alternative.