Mawasiliano hujenga mahusiano

Mawasiliano hujenga mahusiano

Screenshot_20230101-120132_1.jpg

Kwakweli nahisi nahitaji therapy maana it's so hard to keep up with other. Si ndugu wala washkaji sichelewi kufuta namba
I hope your an introvert type of a person.
 
Kwakweli nahisi nahitaji therapy maana it's so hard to keep up with other. Si ndugu wala washkaji sichelewi kufuta namba
Nafikiri uyo ndio wewe Criston Cole
Unapenda sana kudeal na kuinterpret yale yanayotokea ndani ya mwili wako ya kihusisha thoughts, ideas, pamoja feelings kuliko ya nje ya mwili wako.

May be unatakiwa ujenge utamaduni wa kuinteract na watu sahihi kwa muda sahihi angalau 1 hour per day inatosha. Lakini hakikisha that one hour unaitumia effectively hili kuweza kuimprove communication skills yako na kubuild a strong relationship with others.
That's it Pal'🙏.​
 
No acha tu niwe hivi hivi sipendi kua attached sana na vitu. Hakuna kitu kinaniumiza kama kuona nafosi mawasiliano na watu. Ndio maana Twitter na insta zimenishinda kutumia.
Wasap huko ndio peupe kabisa sina group wala chats.

Heri ya mwaka mpya Sir. Ndio natoka kanisani since morning.
 
Nafikiri utakuwa unakumbuka discussion yetu ya mwisho kuhusu mazingira kwenye Uzi wako wa
Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

Nakumbuka nilikwambia "changes is inevitable" jambo lolote lazima litakuwa na positive side ama negative side lazima uwe aware kwenye hizo side mbili Sir.
 
Heri ya mwaka mpya Sir. Ndio natoka kanisani since morning.
Kwanza, Happy new year too Sir 🎊🎉✌️👏

Pili, nikupongeze kwa kuanza mwaka kwa maombi, sala na kushukuru. Kwa kujua kuwa wewe Criston Cole unapumua sio kwa nguvu zako bali ni kwa neema ya Mungu.

Basi hakika ukawe mwaka wako wa mafanikio tele na fanaka katika nyanja zote tatu kiroho, kimwili na kiakili.
Mwenyezi Mungu akubariki na kukuongezea hekima, busara na unyenyekevu zaidi, ukapate kukutana na kuinteract na watu sahihi kwenye cycle sahihi.

All is possible if you believe, tell me if you would believe Sir🙏.
 
Ahsante sana mkuu mwaka 2022 ndio nimeanza kuingiliana na watu kwakweli I'm so disappointed. I don't fit
 
Back
Top Bottom