Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 2,026
- 4,450
- Thread starter
- #41
Cool,Its enough. I talked a lot about me!
Much appreciation ✌️
Thanks alot Pal'🙏.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cool,Its enough. I talked a lot about me!
Ni ndefu saaana inachosha kusoma.......View attachment 2465387
Maisha ya Mwanadamu kiujumla yanatengenezwa na mawasiliano chanya ya kila siku katika mazingira yanayomzunguka.
Neno mazingira likijumuisha nyumbani, kazini, kwenye biashara, kanisani, msikitini, shuleni, vyuoni kwenye mikutano n.k
Kila Mwanadamu hapa Duniani anatamani kufikia malengo yake makubwa ya kimafanikio aliyojiwekea. Wengine wanatamani kuwa wafanyabiashara wakubwa, viongozi, wanasiasa wakubwa, madaktari, wanamichezo, walimu wakubwa ulimwenguni n.k
Mwanadamu ni kiumbe pekee aliyebarikiwa na Mungu (The Ultimate Intelligence) akajazwa maarifa, karama, hekima, busara, uwezo mkubwa wa kufikiri, kubuni, na kutatua changamoto mbalimbali za maisha yake.
Lakini aya yote hayata wezekana kama una mawasiliano hasi na mahusiano hafifu na Mungu wako pamoja na mazingira yanayokuzunguka kwa ujumla.
Tutapeana mifano miwili, mitatu hili tuweze kwenda sawa:-
1. Hauwezi kupanda cheo kazini au kwenye Uongozi kama una mawasiliano hafifu na mahusiano mabaya na Kiongozi wako ama Boss wako.
2. Hauwezi kuwa Mfanyabiashara mkubwa kama una mawasiliano mabaya na wateja wako.
3. Mwanamichezo hauwezi kuwa kwenye kikosi cha kwanza kama una mawasiliano dhaifu na mahusiano mabaya na kocha wako. Mfano mzuri ni Greatest Football Player of all time Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro vs Erik Ten Hag (Manchester United Coach)
View attachment 2465161
Mwaka 2023 👏 ukawe mwaka wako bora kwa kuwa na mawasiliano chanya na mahusiano bora na Mungu wako.
Mwaka 2023👏 ukawe mwaka wako chanya na kuwa na mahusiano chanya na ndugu zako.
Mwaka 2023 👏 ukawe mwaka wa mawasiliano na mahusiano bora na wafanyakazi wenzako, mpenzi wako, wafanyabiashara wenzako, familia yako, wanamichezo wenzako, Viongozi wenzako pamoja na wanasiasa wenzako.
Hata Mitume na Manabii wa Mungu walikuwa na mawasiliano mazuri na Mungu wao ndio maana mahusiano yao, mission zao pamoja na vision zilienda kwa wakati na kwa mpangilio maalum.
Be the One, by "sweat on the small stuff to build the big one".
Tengeneza mawasiliano bora ya kiroho, kimwili na akili hili kujenga mahusiano imara katika maisha yako.
Basi hakika utafanikiwa.
No One know's Everything
No One Who Is Someone
View attachment 2465229
WhiskeyUnapiga vikali au beer🍻 mkuu?
Mbona haichoshi kusoma,Ni ndefu saaana inachosha kusoma?
Amen🙏Mungu atujaalie kila lililo jema 2023
Unaweza ukanifafanulia ni utajiri kwa namna gani?Mawasiliano mazuri ndo utajiri wako pia
I think rejea kwenye mifano yako mitatu uliyotoa utapata jibu what i meanUnaweza ukanifafanulia ni utajiri kwa namna gani?
For your own perspective unaweza ukanifafanulia?I think rejea kwenye mifano yako mitatu uliyotoa utapata jibu what i mean
Mawasiliano ndio kichocheo cha Mahusiano.💯🤝 na ukitaka kuvunja urafiki kata tu mawasiliano hata kama mlishabana jinsi gani kwenye urafiki wenu
Without a doubt, it is what it isMawasiliano ndio kichocheo cha Mahusiano.
Someone tell me this😔
Communication is the key of everything.Without a doubt, it is what it is
I second that, additionally communication the human connection is the key to personal and career successCommunication is the key of everything.
No way, We have to accept it Pal'
Whether we like it or not.
Through communication you can build a connection.human connection is the key to personal and career success
🤣🤣🤣🤣🤣yasipitilizeLakini tusiwe na mawasiliano mazuri na wake za watu jamani
Man can no longer live for himself alone. We must realize that all life is valuable and that we are united to all life through communication and connectionThrough communication you can build connection.
Through connection you can build a network web.
Through a network web you can get what you want in your life.
Build a bunch of connection as much as you can Pal'
Daaah?🤔🤔Wengine ukifanya mawasiliano wanapandisha ukichaa kama defense mechanism na kuanza kuvunja vunja vitu ilimradi usipate majibu ya unachokiuliza- kama mahusiano yana mambo mengi naona bora kukaa kimya tu. Nafsi nazo pia huchoka na akili hukataa na kuona ukomo umewadia.
Anyway nimejiandikia tu ila ukiwa na mixed feelings maisha yanakuwa magumu sana.
Tupige vyombo kuupokea mwaka mpya.