Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu mnisaidie katika hili kama email ni legal communication, kuna mtu aliniambia ilitoka circular kwamba yatumike kisheria lakn juzi mtu mmoja akaniambia serikalini bado ni haramu (illegal)
hapa nilikua nalenga kwa mfano mnatumiana mikataba kwa email na kusainishana juu kwa juu....(electronically) kwa jicho la kisheria itakua ni illegal japo mmewasiliana lakn huenda pia nikubaliane na neno unofficial maana sikua nalo akilini japo katika jicho la sheria linakua jepesi, hata hivyo bado hijanisaidia kwenye hoja yangu ya msingiSijawahi kusikia kuwa eti mawasiliano ni "haramu" au "illegal!" Ukisema hivyo maana yake ni kwamba mtu aweza kushtakiwa simply kwa kufanya hayo mawasiliano. Labda kama unamaanisha "unofficial!"