Mawasiliano na JINN: Njia rahisi kuliko zote za kuwasiliana na JINN na kumwambia chochote

Ndugu yangu,sijui imani yako ya dini,lakini kwa waislamu kisheria ni HARAMU kupashana habari baina ya wanadamu na majini.
 
Na ukiingia msikitini unapowasalimu na wale ndugu zetu wasioonekana ile salamu ni ya nani kama sio majini?
Au inaruhusiwa tu kuwasalimia lakini sio kupashana habari?
 
Unamatatizo kichwani eti ukitaka kuwasiliana na viumbe hawa wazuri JF bana humu nawachawi watakuwa wamo
 
Na ukiingia msikitini unapowasalimu na wale ndugu zetu wasioonekana ile salamu ni ya nani kama sio majini?
Au inaruhusiwa tu kuwasalimia lakini sio kupashana habari?

Kama inavyofahamika kuwa mskiti ni nyumba ya ibada hivyo kuna MALAIKA NA HATA MAJINI ambao wote hao hawaonekani kwa macho ya kawaida, hivyo watu wanapoingia mskitini hutakiwa kusalimia dhidi ya viumbe hao wawili niliowataja hapo juu.
 
bado sijaona jinsi ya kumuita jini

Una maana gani sjakuelewa unachomaanisha labda ungefafanua walau kama kweli unamaanisha ulichokimaanisha dada. Na je, ni kweli unahitaji kuwa nao, au unao, au unataka kuwaita kwa minajili gani labda. KARIBU.
 
Kama inavyofahamika kuwa mskiti ni nyumba ya ibada hivyo kuna MALAIKA NA HATA MAJINI ambao wote hao hawaonekani kwa macho ya kawaida, hivyo watu wanapoingia mskitini hutakiwa kusalimia dhidi ya viumbe hao wawili niliowataja hapo juu.

Sasa mtu anakuja anakwambia dini inakataza kuwasiliana nao, ingekataza watu wangeambiwa wawe wanasalimia kushoto na kulia?
 
Unajua kuna baadhi ya vitu ambavyo vimekatazwa kwenye vitabu vyote na vimewekwa wazi kabisa ila suala la majini wengi wamekuwa wakibahatisha tu hakuna kitabu kilichokataza kwa hakika kabisa.
 
Duuh!Thanks for confirming.
 
Unajua kuna baadhi ya vitu ambavyo vimekatazwa kwenye vitabu vyote na vimewekwa wazi kabisa ila suala la majini wengi wamekuwa wakibahatisha tu hakuna kitabu kilichokataza kwa hakika kabisa.
Sasa mkuu hapo si panaweza pakawas chanzo cha udanganyifu?Kama ulivyosema hakuna kitabu kilichokataza je kuna kitabu kilichoruhusu kwa uhakika?Tunahitaji kuziponya roho zetu na elimu ni nyingi.
 
Sasa mtu anakuja anakwambia dini inakataza kuwasiliana nao, ingekataza watu wangeambiwa wawe wanasalimia kushoto na kulia?

Nimekukamata,wewe kwenye ile post yetu ile ulisema hutaki kuamini unataka kuelewa ,lakini hapa unaonekana una amini kitu.Kuwa makini ndugu.Hapa naona unaamini uwepo wa viumbe visivyo onekana kwa macho na watu wanasalimia kushoto na kulia.
 
Najua kuwa wakiingia masjid huwa wanasalimia viumbe hao wasioonekana kwasababu wanaamini na wao huenda kuabudu pia. Hiyo haimaanishi kuwa naviamini hivyo viumbe. Ila naujua huo utaratibu vizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…