Mawasiliano na JINN: Njia rahisi kuliko zote za kuwasiliana na JINN na kumwambia chochote

Huu ni kufundisha uchawi! Ivi kuna imani inayokubali majini ilihali ni product ya shetani!!ukitoka waelekeze na namna ya kutubu !!!,Kwanini usielekeze kuwaita Malaika wa Mungu!!sorry kwa kukuingilia kwenye uganga wako
 

Shukran sana.

Well, nadhani ni HISIA au MAONO yaliyoshabihiana baina baina na ndio maana labda kilichopo kwa akili yako ndicho kile labda ambacho nami nlikuwa nakifkiria akilini blood.

Nashkuru kama mawazo/maono yetu yalirandana vyema ila nakiri kusema kuwa ni wachache sana wenye kuweza kubainisha bayana juu ya jambo fulani.

Kama ulivyosema kuwa kuna mtu hapo juu alisema kuwa huwa wanaomba roho zilizo safi ziwaongoze wakitegemea viongozi wao wa DINI ndio roho zilizo safi wakati kiuhalisia hao hao viongozi wao wa DINI hutumia hizi sayansi kwa minaajili kadha wa kadha kufanikisha mambo mengi sana pasina wao kujua iwalo lote lile.

Ni rafiki yako wa karibu sana darasani atakayeweza kukupa jibu sahihi utakapomuuliza swali kwenye mtihani. Laa sivyo hakuna mtu anapenda kuona eti unafanikiwa na akakupa njia za kufanikiwa ; ni wachache sana wenye nyoyo kama hii.

Kiongozi wa DINI hataweza kuwaonesha wafuasi njia wanazopita wao na kuwafumbua macho wafuasi wao kwa kuogopa wafuasi wanaweza kuwa na nguvu kama/au kuwazidi wao na mwisho wake wakishajua hizo njia hawataweza tena kurudi kwa viongozi wao kutatua matatizo yao kama wanavyoenda siju zote, hivyo kuogopa kupoteza wateja kwenye biashara zao za kila siku wanazofanya madhabahuni.

Msalimie Sana Bibi Yangu.

Have a Lovely Day.
 
Nakemea thread hii kwa jina la YESU ife ipotee

Kwani kitu kinachokufa ni kitu chenye roho tu peke yake au hata kisicho na roho pia hufa...?.

Shukran.
 
Hebu liambie hilo jini liiambie sirikali ya ccm impe maalim seif nchi yake ya Zanzibar tuone
 
Hebu liambie hilo jini liiambie sirikali ya ccm impe maalim seif nchi yake ya Zanzibar tuone

Majini wana viongozi wao, na pia wanatakiwa kuwatii sio kila jambo wataweza kulifanya kwa urahisi kama unavyofkiria ndugu. Kila unachotaka wakufanyie nawe unawaambia kuwa utawafanyia nini kama offer yao, sasa inapotokea unapompa kazi ambayo ni kubwa na hawezi kuifanya itamlazimu nae atake kitu kikubwa kutoka kwako ambapo kinaweza kuwa kitu chochote kikubwa kutokana na uzito wa kazi uliyompa labda akashindwa kuifanya, hivyo huitoa kwa wenzake ambao huenda wakawa ni wakubwa zaidi yake wakamuahidi kuifanya lakini kwa ahadi ya kuwapa na wao wakitakacho kama zawadi yao ndugu yangu.

Karibu sana.
 
ndugu me napingana na wewe kabisa kuwa jini ni kiumbe mzuri,kwanza kwa nini amuingie mtu bila ridhaa yaake??pili huyo kiti akitaka kumtoa huyo jini lazima itumike nguvu sana maana linakuwa linakataa kutoka,kwa upande wako ni zuri,cause kuna faida unayopata kutokana na hayo madude,ila asilimia kubwa wanateseka nayo,alafu tofautisha majini na roho mtakatifu,majini hutoka kwa shetani,na roho mtakatifu hutoka kwa mungu..
ibilisi ni muovu always...
 
[emoji445] [emoji444] [emoji445] Kumtegemea Mungu kunalipa....kumtegemea Mungu kunalipa.......[emoji445] [emoji444]

Wimbo mzuri huu[emoji332] [emoji331] [emoji330]
 
ndugu me napingana na wewe kabisa kuwa jini ni kiumbe mzuri

Ni sawa mkuu kama unapingana na mimi sitakatai coz kila mtu ana mtazamo na muono wake juu ya kila anachokitazama ndugu yangu. Kama unavyosema kuwa unapingana na mimi kuwa JINN ni kiumbe mzuri naomba nikuulize swali, vipi kuhusu BINADAM NI KIUMBE MZURI au ni kiumbe mbaya au kuna wengine ni wazuri na wengine ni wabaya naomba uniambie ni kwa nini...?.

kwanza kwa nini amuingie mtu bila ridhaa yaake??

Hivi, kwa fikra na upeo wako wa kufkiri unadhani hakuna BINADAM wanaowaingia / wanaowaingilia watu bila ya ridhaa yao, wapo au hawapo, naomba unijibu...?.

pili huyo kiti akitaka kumtoa huyo jini lazima itumike nguvu sana maana linakuwa linakataa kutoka,

Hapa sjajua unamaanisha nini au umeona/umeskia wapi mi sijui ila unadhani kwa upeo ulionao JINN humuingia mtu kwa njia gani au ngapi...?.

kwa upande wako ni zuri,cause kuna faida unayopata kutokana na hayo madude,

Unaweza kuwa na ushahidi juu ya hili, pia naomba nikuulize hapa hivi unakunywa pombe, sigara au bhangi, kuwa muwazi tu juu ya hili coz kuna kitu nataka nikueleweshe ila tu kama utataka kuelewa.

ila asilimia kubwa wanateseka nayo,

Una uhakika gani mpaka unasema hivyo kwa kuskia story za vijiweni au kwa ushuhuda ulionao...?.

alafu tofautisha majini na roho mtakatifu,majini hutoka kwa shetani,na roho mtakatifu hutoka kwa mungu..

Una uhakika kuwa JINNS hawatoki kwa MUNGU na hutoka kwa shetani kivipi kwa sababu naomba nikuulize hapa, MAJINI NI VIUMBE AU SIO VIUMBE...?, kama ni viumbe je, shetani na MUNGU nani mwenye uwezo wa kuumba kiumbe...?, kama ni MUNGU ndo mwenye uwezo wa kuumba kiumbe iweje useme MAJINI hutoka kwa shetani ilhali hana uwezo wa kuumba...?.

ibilisi ni muovu always...

Kwa mtazamo na upeo wa fikra zako unadhani Ibilis ni nani...?.

KARIBUNI SANA.
 
[emoji445] [emoji444] [emoji445] Kumtegemea Mungu kunalipa....kumtegemea Mungu kunalipa.......[emoji445] [emoji444]

Wimbo mzuri huu[emoji332] [emoji331] [emoji330]
Sawa kumtegemea MUNGU kunalipa lakini wee unafanya kazi au unasoma...?. Kama unafanya kazi natumau unamtegemea boss wako akulipe pesa ili uishi, kwa nini usiache tu kazi ukamtegemea MUNGU kwa sababu kumtegemea MUNGU kunalipa ni wimbo mzuri huu jee, unautekeleza kwa vitendo...?. Ulipokuwa mdogo ulitegemea wazazi wakufanyie mambo mengi kwa nini usingeachana nao ukamtegemea tu MUNGU unategemea nini/nani kupata mambo yako...?, kama una rafiki labda, ambaye ana uwezo wa kifedha/elimu/madaraka n.k akakuahidi jambo zuri ifikapo siku fulani si utakaa ukitegemea siku fulani rafiki yangu ameniahidi atanipa jambo zuri au utaachana nae tu na kumtegemea MUNGU PEKEE...?. Kwa sababu kumtegemea MUNGU kunalipa ni wimbo mzuri huu je, hakuna mtu wako wa karibu aidha ndugu au rafiki peke yao ambao unawategemea kwenye mambo yako ukiacha MUNGU...?.

Hebu jaribu kuwa muwazi juu ya hayo maswali ili niweze kukuelewesha uzuri ndugu.

KARIBUNI SANA.
 
Huu ni kufundisha uchawi!

Naweza nikakuuliza swali moja tu na ukababaika na usiwe na jibu la kujibu wakati kwa fikra zako ukahisi kuwa eti ulichokiandika unakifaham, naomba kukuuliza kwa kile ulichokisema kuwa huku ni kufundisha uchawi, naomba unipe tafsiri ya uchawi ; UCHAWI NI NINI...?.

Ivi kuna imani inayokubali majini ilihali ni product ya shetani

Hivi unajua ukisemacho au unaandika tu kufurahisha nafsi yako na wengine wanaofanana na wewe...?.

ukitoka waelekeze na namna ya kutubu

Mi nafkiri kama unaweza ungefanya hivyo coz siku zote WAJENZI HURU huwa na mgawanyo wa kazi zao hivyo si vibaya ukawaelekeza namna ya kutubu kwa sababu sijaona kosa walilofanya linalopaswa kutubiwa kama wee umeliona itakuwaje usiwaelekeze wewe uliyeliona kosa hilo kama wee huhitaji kutubu kwa kuwa ni msafi basi waelekeze wengine unaowaona ni wachafu ndugu.

Kwanini usielekeze kuwaita Malaika wa Mungu!!

Unajua, kila mtu na elimu au kipaji ambacho anacho na sidhani kama kazi ya mmoja yaweza kufanywa na mwengine na sjui kwa nini ikatokea mtu aliyetakiwa kupasuliwa kichwa akapasuliwa mguu na wa mguu akapasuliwa kichwa...?, kwa kuwa mimi najua jinsi ya kuwaelekeza namna ya kuwaita hawa viumbe, basi si vibaya wee mjuzi wa kuwaita MALAIKA ukawaelekeza watu kuwaita MALAIKA ili wawaone na wazungumze nao kama unavyosadiki ewe mwana wa kusadikika hujakatazwa kuwafundisha watu jinsi ya kuwaita hao MALAIKA fanya hivyo tuone kama unaweza au kama unayo ile kweli iliyojificha hebu iweke bayana tuone kama ni kweli.

sorry kwa kukuingilia kwenye uganga wako

Nadhani utakuwa umejiingilia mwenyewe pasina kujua kuwa umejiingilia wala usipate tabu ya kusema sorry. Huna kosa ulilotenda ndugu kwani kuna kosa lolote ulilolitenda mpaka useme sorry...?.

KARIBUNI SANA.
 
Mganga wa jadi at work
 
Kama wewe unaabudu majini na Mungu saa s uchague moja!! Kwa sababu shetani na majini ,Mungu na Malaika!!
 
Kama wewe unaabudu majini na Mungu saa s uchague moja!! Kwa sababu shetani na majini ,Mungu na Malaika!!

Ndugu, huwa sibishani kwa ushabiki napenda mtu anayetaka kujifunza jambo nitamuelewesha lakini sio hivi unavyotaka kufanya ili mradi tu uchafue hali ya hewa siko kwa ajili hiyo ndugu.

Nimeuliza maswali hapo juu hakuna hata moja lililojibiwa halaf unaleta hoja zisizo na mashiko mi sipo hapa kwa ubishani ndugu nipo hapa kwa wanaotaka kujua na kujifunza mambo wasiyoyajua kama wee unajua kila kitu pita hivi...!.

Wee una IMANI yako basi baki na IMANI yako na wengine wana IMANI zao basi waache na IMANI zao pia ya nini kushughulika na kitu kisichokuhusu, endelea na IMANI yako kwani kuna mtu aliyekuingilia katika IMANI yako ndugu yangu, kwa nini huwa mnapenda chokochoko kiasi hiki BINADAM...?.
 
unajua ubishi mwingine hauna maana,ninahakika kabisa unajua nini zuri na nini baya,nimeshuhudia sana watu wakitesseka na hayo madude unayo yatukuza,najua wewe ndani yako unalo na lina faida kwako ndo mana unayasifia na kuyatetea ilihali ukijua ni mabaya
 

Kilicho kibaya kwako si kwa kila mtu kitakuwa kibaya ndugu.
 
sawa mkuu haina shida ya kubishana,vipi unaouwezo wa kumsaidia mtu aliyye na hayo madude yamtoke??
 
Sasa mbona hujaeleza hiyo njia rahisi ya kuwaita majini? Wengine tunapenda kutafiti kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…