Mawasiliano na JINN: Njia rahisi kuliko zote za kuwasiliana na JINN na kumwambia chochote

Mawasiliano na JINN: Njia rahisi kuliko zote za kuwasiliana na JINN na kumwambia chochote

NDUKI

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
3,422
Reaction score
2,418
SALAAM | SHALOM,

Natumai mu-wazima wote kwa jumla.

Kama mada husika inavyojieleza hapo juu MAWASILIANO NA JINN ni mawasiliano yafanywayo kati ya BINADAM NA JINN. Sipo hapa kueleza JINN ni kiumbe wa aina gani kwa sababu imeshaelezwa hapo kabla na nilishaweka mada hapa jamvini isemayo Jinsi ya Kumwita Jini na Kumuamrisha Unavyotaka ila mada hii iliunganishwa na mada ya Mcheza Karate mods wanajua sababu ya kufanya hivyo, well.

Leo nawaletea mada na njia tofauti kabisa, narudia tena ni njia tofauti kabisa na ya ndugu yangu Mcheza Karate ikiwa ni NJIA RAHISI KULIKO ZOTE ZA KUWASILIANA NA JINN NA KUMWAMBIA CHOCHOTE UNACHOTAKA.

Nasema ni NJIA RAHISI kwa sababu hauhitaji mpaka iwe FULL MOON (MWEZI MPEVU), hauhitaji ipatikane PETE, KIOO, MISHUMAA, BAKULI wala LIPSTIC ya kuandika MUSCHNA wala VAMIR kwa ajili ya JINN WA KIKE au KIUME, haihitaji ufungue GETI/LANGO KUU lililopo baina ya ULIMWENGU WETU NA MAJINI wala haihitaji MUDA MAALUM, haihitaji useme SAL SAL, AKMASH & LASH a thousand times na ndio maana nikasema NJIA RAHISI KULIKO ZOTE ZA KUWASILIANA NA JINN NA KUMWAMBIA CHOCHOTE UNACHOKITAKA.

Kwanza kabisa nadhani baadhi yenu mtakuwa mnajua sehem ambazo MAJINI wanapenda kukaa, ukiacha BAHARINI, MAPANGONI/KWENYE MAJABALI, KWENYE MAJUMBA YASIYOKALIWA NA WATU, MAGOFU, MAPORINI/MISITUNI au hata VYOONI.

Lakini pia moja kati ya sehem inayopendwa sana kutumiwa na MAJINI kukaa ni kwenye MWILI WA BINADAM. YES, MWILI WA BINADAM hutumiwa pia na MAJINI kukaa humo wakikaa kwenye sehem zifuatazo ; MOYO, MISHIPA YA DAMU na hata MWILI MZIMA wana uwezo wa kwenda popote wakiwa ndani ya MWILI WA BINADAM ; Lakini hasa sehem nnayoongelea hapa ni KICHWANI, hii ni sehem KUU waipendayo kutumia kukaa viumbe hawa WAZURI wakiwa ndani ya MIILI YETU.NINI CHA KUFANYA | KINACHOHITAJIKA.

Baada ya kusoma hayo maelezo hapo juu sasa twende moja kwa moja kwenye NINI CHA KUFANYA | KINACHOHITAJIKA ili kuweza kuwasiliana na VIUMBE WAZURI hawa ;-

MTU ANAYEPANDISHA - Hapa nazungumzia mtu mwenye viumbe hawa KICHWANI ili uweze kuwasiliana nao, THAT'S THAT.

Labda utahitaji UDI au wengine hupandisha bila ya UDI na JINN atakuja utazungumza nae kwa USALAMA NA AMANI na wala sio kwa njia ya kuogopesha kama njia nyingine zitumiwazo, wala sio kwa umbo usilolipenda kama njia nyingine zitumiwazo, wala sio kwa SHARI na kutokujua atakuja vipi kama njia nyingine zitumiwazo.Mtaongea utakavyotaka na kumuuliza, kumwambia au kumuomba chochote kile ambacho utapenda kumueleza ; na kuanzia hapo ataweza kukueleza yee ni JINN GANI ?, ana uwezo gani ?, katokea wapi ?, rangi yake ipi ? Siku yake ni ipi ?, Anapenda nini labda ikiwa kama zawadi ?, Jinsi gani unaweza kufanya ili muwe marafiki ?

Kuanzia hapo ndipo utakapoweza kumwambia AJE LIVE muonane au umfanyie/ufanye nini ili muweze kuonana au uweze kumuona. Kuanzia hapo ndipo utakapoweza kumwambia aje aidha usingizini/ndotoni au vile utakavyopenda wewe na mkakubaliana au akakueleza yeye jinsi anavyoweza, N.K.

Mtaweza kuongea mengi tu kutokea hapo kwa upendo na amani na kuweza kukubaliana au kutokubaliana ; mkikubaliana ni VYEMA na msipokubalia itakuwa imeishia hapo tu na ataendelea kubaki kwa mtu wake KITI nawe utaendelea tu na maisha yako kama kawaida, ikikumbukwa kuwa wapo JINNS wengi msipokubaliana unaweza ukawasiliana na JINNS wengine kupitia BINADAM MWENGINE na mambo yakaenda kama kawaida, tofauti na njia nyingine zitumiwazo za kumwita bila ya kujua utamrudisha vipi hasa kama sio mtaalam wa hawa viumbe.

Mtaweza kupiga story nyingi sana kuanzia hapo na kukueleza au kukufundisha mambo mengi tu ambayo hata uliyokuwa huyajui ; NA NDIVYO NNAVYOFANYA.

Where There is a Will There is a Way. Nawatakia Kila la Heri, THANKS.

By :JINN'S FRIEND | JF.

Cc LIKUD, Mcheza Karate, mshana jr, MziziMkavu, Rakims.
 
Duuh,kweli tuko mwisho wa dunia hii.Jamaa hawana muda wa kutosha sasa kila kitu njenje ili wengi wapotee.
 
wazungu na waarabu wamekuharibu wewe
Mkuu wamemwaribu vipi hapo?Vipi wewe hiyo picha kwenye avata yako inakujenga au?Mtu uyasema yaujazao moyo wake,wewe avator yako inakuwakirishaje hapa jf?
 
.SALAAM | SHALOM.Natumai mu-wazima wote kwa jumla.

Kama mada husika inavyojieleza hapo juu MAWASILIANO NA JINN ni mawasiliano yafanywayo kati ya BINADAM NA JINN. Sipo hapa kueleza JINN ni kiumbe wa aina gani kwa sababu imeshaelezwa hapo kabla na nilishaweka mada hapa jamvini isemayo Jinsi ya Kumwita Jini na Kumuamrisha Unavyotaka ila mada hii iliunganishwa na mada ya Mcheza Karate mods wanajua sababu ya kufanya hivyo, well.

Leo nawaletea mada na njia tofauti kabisa, narudia tena ni njia tofauti kabisa na ya ndugu yangu Mcheza Karate ikiwa ni NJIA RAHISI KULIKO ZOTE ZA KUWASILIANA NA JINN NA KUMWAMBIA CHOCHOTE UNACHOTAKA nasema ni NJIA RAHISI kwa sababu hauhitaji mpaka iwe FULL MOON (MWEZI MPEVU), hauhitaji ipatikane PETE, KIOO, MISHUMAA, BAKULI wala LIPSTIC ya kuandika MUSCHNA wala VAMIR kwa ajili ya JINN WA KIKE au KIUME, haihitaji ufungue GETI/LANGO KUU lililopo baina ya ULIMWENGU WETU NA MAJINI wala haihitaji MUDA MAALUM, haihitaji useme SAL SAL, AKMASH & LASH a thousand times na ndio maana nikasema NJIA RAHISI KULIKO ZOTE ZA KUWASILIANA NA JINN NA KUMWAMBIA CHOCHOTE UNACHOKITAKA.

Kwanza kabisa nadhani baadhi yenu mtakuwa mnajua sehem ambazo MAJINI wanapenda kukaa, ukiacha BAHARINI, MAPANGONI/KWENYE MAJABALI, KWENYE MAJUMBA YASIYOKALIWA NA WATU, MAGOFU, MAPORINI/MISITUNI au hata VYOONI.

Lakini pia moja kati ya sehem inayopendwa sana kutumiwa na MAJINI kukaa ni kwenye MWILI WA BINADAM. YES, MWILI WA BINADAM hutumiwa pia na MAJINI kukaa humo wakikaa kwenye sehem zifuatazo ; MOYO, MISHIPA YA DAMU na hata MWILI MZIMA wana uwezo wa kwenda popote wakiwa ndani ya MWILI WA BINADAM ; Lakini hasa sehem nnayoongelea hapa ni KICHWANI, hii ni sehem KUU waipendayo kutumia kukaa viumbe hawa WAZURI wakiwa ndani ya MIILI YETU.NINI CHA KUFANYA | KINACHOHITAJIKA.

Baada ya kusoma hayo maelezo hapo juu sasa twende moja kwa moja kwenye NINI CHA KUFANYA | KINACHOHITAJIKA ili kuweza kuwasiliana na VIUMBE WAZURI hawa ;-MTU ANAYEPANDISHA.Hapa nazungumzia mtu mwenye viumbe hawa KICHWANI ili uweze kuwasiliana nao, THAT'S THAT.

Labda utahitaji UDI au wengine hupandisha bila ya UDI na JINN atakuja utazungumza nae kwa USALAMA NA AMANI na wala sio kwa njia ya kuogopesha kama njia nyingine zitumiwazo, wala sio kwa umbo usilolipenda kama njia nyingine zitumiwazo, wala sio kwa SHARI na kutokujua atakuja vipi kama njia nyingine zitumiwazo.Mtaongea utakavyotaka na kumuuliza, kumwambia au kumuomba chochote kile ambacho utapenda kumueleza ; na kuanzia hapo ataweza kukueleza yee ni JINN GANI ?, ana uwezo gani ?, katokea wapi ?, rangi yake ipi ?, siku yake ni ipi ?, anapenda nini labda ikiwa kama zawadi ?, jinsi gani unaweza kufanya ili muwe marafiki ?

Kuanzia hapo ndipo utakapoweza kumwambia AJE LIVE muonane au umfanyie/ufanye nini ili muweze kuonana au uweze kumuona. Kuanzia hapo ndipo utakapoweza kumwambia aje aidha usingizini/ndotoni au vile utakavyopenda wewe na mkakubaliana au akakueleza yeye jinsi anavyoweza, N.K.

Mtaweza kuongea mengi tu kutokea hapo kwa upendo na amani na kuweza kukubaliana au kutokubaliana ; mkikubaliana ni VYEMA na msipokubalia itakuwa imeishia hapo tu na ataendelea kubaki kwa mtu wake KITI nawe utaendelea tu na maisha yako kama kawaida, ikikumbukwa kuwa wapo JINNS wengi msipokubaliana unaweza ukawasiliana na JINNS wengine kupitia BINADAM MWENGINE na mambo yakaenda kama kawaida, tofauti na njia nyingine zitumiwazo za kumwita bila ya kujua utamrudisha vipi hasa kama sio mtaalam wa hawa viumbe.

Mtaweza kupiga story nyingi sana kuanzia hapo na kukueleza au kukufundisha mambo mengi tu ambayo hata uliyokuwa huyajui ; NA NDIVYO NNAVYOFANYA.Where There is a Will There is a Way. Nawatakia Kila la Heri, THANKS.By :JINN'S FRIEND | JF.

Cc LIKUD, Mcheza Karate, mshana jr, MziziMkavu, Rakims.

Watu wanajibidiisha na elimu na kupambana na mazingira kuboresha maisha yao, we unataka kuwasiliana na nguvu za giza!
Hala hala mkuu mwisho wa yote ni kuwatoa ndugu zako kafara ili hsonguvu zako za giza uingie nao mkataba.
Amini Mungu ili mambo yako yaende na kuisha vizuri duniani.
 
Watu wanajibidiisha na elimu na kupambana na mazingira kuboresha maisha yao, we unataka kuwasiliana na nguvu za giza!Hala hala mkuu mwisho wa yote ni kuwatoa ndugu zako kafara ili hsonguvu zako za giza uingie nao mkataba.Amini Mungu ili mambo yako yaende na kuisha vizuri duniani.
Kwani hii ni nini ndugu, sio elimu ?.
 
Duuh,kweli tuko mwisho wa dunia hii.Jamaa hawana muda wa kutosha sasa kila kitu njenje ili wengi wapotee.

nani kakwambia huu ni mwisho wa dunia?? ....na hao wengi unaosema wapotee , unamaanisha wapotelee wapi???
 
Jamani kuna mwenye namba ya Lubuva humu? Nataka nimuulize hawa wapiga kura pichani ni mazombie au kitu gani?
 
Attachments

  • 1444980104014.jpg
    1444980104014.jpg
    5.1 KB · Views: 1,339
nani kakwambia huu ni mwisho wa dunia?? ....na hao wengi unaosema wapotee , unamaanisha wapotelee wapi???
Kasome biblia yako vizuri kama unayo utanielewa.Otherwise ni hata nikikueleza hutanielewa.Soma post zangu kuna mambo nimehighlight sasa ziwezi kuwa narudi nyuma nishaelezea.
 
Kasome biblia yako vizuri kama unayo utanielewa.Otherwise ni hata nikikueleza hutanielewa.Soma post zangu kuna mambo nimehighlight sasa ziwezi kuwa narudi nyuma nishaelezea.

kwanza mi sina biblia, pili mbona ninachouliza hunijibu...???
 
Back
Top Bottom