Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
Habari,
Ni hivi, mdada ana mwanaume wake lakini kuna muda hamuelewi kwenye swala la mawasiliano, ni kweli kuna muda anakua busy na kazi na pia mtandao unasumbua kwahiyo mkaka huwa ana mtext mdada text like mambo, mzima? Uko wapi? Unafanya nn? Yani hayuko romantiki kabisa kwenye text.
Kwa story tu: mkaka anampenda demu ila ni mtu wa busy na kazi sema demu hajiamini na anataka aambiwe nakupenda most of time, vile vile anapenda communication iwe story like wakichat wawe na content. Tatizo liko kwa brother ana short sms na haziko romantik na kuna siku nyingine hawatafutani kabisa.
Demu anataka kumuacha mkaka kimya kimya cos hamuelewi in term of communication.
Sasa thread hii nataka kujua kwa jinsi gani mwanamke/mwanaume anaweza kuacha mawasiliano na mpenzi wake. au afanyeje awe busy asiwe ana muwaza mpenz wake?