Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Sipendi mahusiano ya hivi...ntavumilia mwisho ntashika njia yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maskini Dada wa watu ...anadate na bogaSikumbuki lini.
Siku hizi naonaga uzito kishenzi kumtumia message kila mara.
Sijui kwa vile alinikubaliaga bila usumbufu.
Nakumbuka last year wakati ndio namtongoza... Daaah... Tulikua tunaenjoy sana mahusiano.
Kabisa cuteSipendi mahusiano ya hivi...ntavumilia mwisho ntashika njia yangu.
Ni kupata mpenz Mwingine mom,ukishindwa bas tafuta kitu cha kukukeep busy usimwaze kabisaNjia za kumsahau mpeNzi msisahau kusuggest jamqni
Utakuwa na matatizo.Hakuna kitu sipendi Kama mtu kunipigia sm au sms na awe Mwanamke sipendi Kabisa habari za kijinga
Kuna pisi zingine virungu vingi, tunazikachaHabar
Ni hivi: Mdada ana mwanaume wake lakini kuna muda hamuelewi kwenye swala la mawasiliano, ni kweli kuna muda anakua busy na kazi na pia mtandao unasumbua kwahiyo mkaka huwa ana mtext mdada text like mambo, mzima? Uko wapi? Unafanya nn? YANI HAYUKO ROMANTIKI KABISA KWENYE TEXT.
Kwa story tu: Mkaka anampenda demu ila ni mtu wa busy na kazi sema demu hajiamini na anataka aambiwe nakupenda most of time vile vile anapenda COMMUNICATION IWE STORY LIKE WAKICHAT WAWE NA CONTENT tatizo liko kwa brother ana short sms na haziko romantik na kuna siku nyingine hawatafutani kabisa.
DEMU ANATAKA KUMUACHA MKAKA KIMYA KIMYA COS HAMUELEWI IN TERM OF COMMUNICATION.
SASA THREAD HII NATAKA KUJUA KWA JINSI GANI MWANAMKE/MWANAUME ANAWEZA KUACHA MAWASILIANO NA MPENZI WAKE. Au afanyeje awe busy asiwe ana muwaza mpenz wake?
Njia za kumsahau mpeNzi msisahau kusuggest jamqni
Huyo ni Mimi.Binafsi napenda kuchati na kuongea sana na simu zaman nilikuwa na hiyo imani kwamba mtu anayekupenda atakuwa anataka kuwasiliana na wewe mara Kwa mara kumbe huyo ni mimi na sio lazma wote tuwe hivo
Nna jamaa yangu alishawahi kuniambia "Mi huyu dem ntamuacha yani mimi Kila siku usiku niwaze topic ya kumchatisha, mishe zangu zenyewe tu hazinifikirishi hivo" hii statement ndio nikajua watu tunatofautiana wakati wengine tunaflow tu na tunapenda
Tunatofautiana mkuu, wengine wanakupenda lakini in nature ni wavivu kuwasiliana
Sent using Jamii Forums mobile app
💯🤝 wachache watakuelewaUkiona unakaribia kumpenda mtu rudisha majeshi nyuma kata mawasiliano kidogo nayeye. Jitahidi jitahidi