Mawasiliano ni kitu muhimu kwenye penzi. Achana na mpenzi asiyekutafuta!

Tuwe tunawasiliana muda mwingi kwani Hana shughuli zingine za kufanya?

Sipendi mahusiano ya kuwasiliana hovyo hovyo bila sababu za msingi.

Nachoka, nakinai, naona kero.
Labda hujawahi kupendwa ku experience love
 
nipate pressure na mapaenzi wakati kodi na tozo zinanipa wakati mgumu.
 
Yaaani Iko hivi siku hizi mtu anajuwa mpenzi wake yupo bize,Sasa mtu anaanza kuwaza ujinga eti kama hajanitafuta nami simtafuti mwishowe inatokea Ile kiburi outbreak ya kukaliana kimya mwishowe mahusiano yanavunjika.
 
Njia za kumsahau mpeNzi msisahau kusuggest jamqni
Kuwa makini hali za maisha zinawafanya wanaume wengi kupata ukakasi katika mahusiano na wengine uwa na soni kujibu sms kwakuwa hali siyo shwali kwao naandika hivi kwa kuwa wewe mwenyewe umeona kuwa ni kweli jamaa anapenda sasa ushauri tafuta muda ukae nae na udadisi ni jambo gani lililopo kabla kufanya maamuzi ambayo utayajutia baadae
 
Moves za kiphilipino zinaharibu sana mahusiano…..

Mawasiliano muhimu kujuliana hali….ila yanakera kwa maswali ya kijinga..

Mfano: my umekula?…..ata kama sijala utanifanya nn!!!

My umekula nn?…….nikutajie msosi niliokula ili iweje yaani!!!

My unafanya nini?…..usiku npo zangu nafanya yoga au meditation unataka ujue β€œafu maswali mengine yaanze yoga ndo nn!!!

My umeoga?……ayaa sijaoga nimepiga passport!!!

Natamani mtu aniambie….my mwaka unaisha upande wangu kuna deal hzi hazijakamilika nafanyaje, my kuna mchongo fulani natamani tuufanye mana naona unalipa sana… n.k
 
Mie wng kashaacha kusalimia mie ndio na kaz ya kusema za asubuhi, upo wapi...

Nikiuchuna nisipomsalimia basi ataanza yy ananicheki ila bado hasalimii anakuja tu na mada flani ya upande wake mara sijui leo hv sijui vile....
 
mawasiliano mengine hatali, kila mkiwasiliana na invoice inafatia
 
Mkuu that’s the area of my expertise… ila nachelea u won’t follow through hata nikikwambia cha kufanya
 
Muache ubahili muwape wenyewe kama hampendi kuombwa
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…mbona tunawapa sana, shida wengine wanafanya kama kukomoa yani.. kwakuwa tunawapenda tunawatupa kisomi tuu.. bila hivyo unafiriska mshahara wote wa kinjibai utahonga
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…mbona tunawapa sana, shida wengine wanafanya kama kukomoa yani.. kwakuwa tunawapenda tunawatupa kisomi tuu.. bila hivyo unafiriska mshahara wote wa kinjibai utahonga
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sawa tatizi hamtulii na mmoja
 
Huyo anayetaka kutafutwa kila saa kwani kapotea?

Mtu ukimmiss mpigie/mtext
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sawa tatizi hamtulii na mmoja
mmoja tugundue nini πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….. ukarimu tofauti, kuna ambao tunapenda kukaa nao unakuwa kama upepo peponi, wapo tunao pembana kutoka nao out show off, wapo kwa ajiri ya game za kimataifaaa haiwezekani kuwa na mmoja
 
Tulieni dawa ziingieπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†si hamtaki kujiongeza
 
Mbona kama ni mimi vile maana mimi kwenye mawasiliano nipo shallow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…