Zaiko kapaya
Member
- Sep 5, 2018
- 14
- 7
Habarini!
Kama kunamtu anamawasiliano na Mrisho Mpoto, naombeni anisaidie nimejaribu kumtafta Instagram, Facebook na kupitia baadhi ya Media presenters ila sijafanikiwa kumpata