Mawasiliano ya Mrisho Mpoto

Mawasiliano ya Mrisho Mpoto

Zaiko kapaya

Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
14
Reaction score
7
Habarini!

Kama kunamtu anamawasiliano na Mrisho Mpoto, naombeni anisaidie nimejaribu kumtafta Instagram, Facebook na kupitia baadhi ya Media presenters ila sijafanikiwa kumpata
 
Yupo mitandao I lakin kupata direct contact zake ndo imekuwa changamoto kwangu
 
Kiranja mkuu naomba unisaidie jina la album yakwanza napata jina la album ya pili tu waite
 
Back
Top Bottom