Mawasiliano ya Rostam Aziz

Nsimbi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
1,091
Reaction score
1,203
Ndugu zangu naomba namba ya simu ya ndugu Rostam Aziz ili niweze kuwasiliana naye. Nimekuwa nikimtafuta kwa 0754555555 lakini nahisi alibadilisha namba.

Kazi njema kwa wote. Thanks in advance
 
Tajir sio mwenzio mkuu. hutakaa upewe hiyo namba.

Ni mwenzangu. Mara ya mwisho alinipa namba yake yeye mwenyewe. He is just a mortal who is deemed to die one day just like any creature
 
Ni mwenzangu. Mara ya mwisho alinipa namba yake yeye mwenyewe. He is just a mortar who is deemed to die one day just like any creature
Sawa endelea kuamini hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…