mawasiliano ya wema sepetu,

raky

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
206
Reaction score
33
Mwenye mawasiliano ya wema naomba anisaidie, najua kwa Moyo wake ulivyo ataweza kunisaidia na mimi,Ana roho nzuri saana Yule dada,mungu kambariki kwa mengi jamani,uzuri fedha na moyo wa kutoa,
 
mmeanza! hebu muacheni mwenzenu ajilie vyake na kujifahidia matunda ya hazina yake!! lol
 
Mbona watoa misaada ni wengi humu jf? Pitisha bakuli bwana, kwaresma hii tunataka kum-impress sir god azipotezee dhambi zetu.
 
Mwenye mawasiliano ya wema naomba anisaidie, najua kwa Moyo wake ulivyo ataweza kunisaidia na mimi,Ana roho nzuri saana Yule dada,mungu kambariki kwa mengi jamani,uzuri fedha na moyo wa kutoa,
RACKY, ni PM naweza kusaidia kamilioni kamoja, ukiwa na hoja ya ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Mwenye mawasiliano ya wema naomba anisaidie, najua kwa Moyo wake ulivyo ataweza kunisaidia na mimi,Ana roho nzuri saana Yule dada,mungu kambariki kwa mengi jamani,uzuri fedha na moyo wa kutoa,
Una miaka mingapi? Isije ukawa unatafuta shuga mami...!!
 
Mwenye mawasiliano ya wema naomba anisaidie, najua kwa Moyo wake ulivyo ataweza kunisaidia na mimi,Ana roho nzuri saana Yule dada,mungu kambariki kwa mengi jamani,uzuri fedha na moyo wa kutoa,

msaada tu cheki na
Yusuph Manji, R.Mengi, Rostam Aziz
Kabda kama kunaa zaidi ya msaada unaozungumzia!
 
leo kaonekana ana roho nzuri sio? kweli bongo ni tambarare humu ndani topic nyingi wanazianzisha kwa kumchambua kama karanga leo hii watu tayari wameshabadilika.nilishasema tusiwe tunawahukumu watu kwa mavazi na ngozi zao watu wanaroho nzuri kuliko sisi tunaojificha nyuma ya keyboard,
 
Bora umesema. Nashangaa sana watu wanavo msrma leo. But ndio jf hii, opinions kama bendera. Na leo wengi watajifanya wanamjua kwa karibu na wanaweza toa contacts zake.
 
Reactions: UKI
Eti hivi wakati matumaini kakwama msumbiji ATM ilikua haijatoka bado? ni kaswali tu
 
Mbona watoa misaada ni wengi humu jf? Pitisha bakuli bwana, kwaresma hii tunataka kum-impress sir god azipotezee dhambi zetu.
Kweli kabisa, tatizo ni kuficha identity, humu jamvini tutaishia kutoana macho na kuchekana. Msaada utawekeza kwa usiyemjua?
 
Wema Mungu akubariki na roho hiyo maneno ya watu yasikukatishe tamaa
 
Mi' mwenyewe huwa natamani siku moja aje anisaidie maana hali teteeee :A S-heart-2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…