Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye mawasiliano ya wema naomba anisaidie, najua kwa Moyo wake ulivyo ataweza kunisaidia na mimi,Ana roho nzuri saana Yule dada,mungu kambariki kwa mengi jamani,uzuri fedha na moyo wa kutoa,
muombe heaven on desert........
RACKY, ni PM naweza kusaidia kamilioni kamoja, ukiwa na hoja ya ukweli.Mwenye mawasiliano ya wema naomba anisaidie, najua kwa Moyo wake ulivyo ataweza kunisaidia na mimi,Ana roho nzuri saana Yule dada,mungu kambariki kwa mengi jamani,uzuri fedha na moyo wa kutoa,
Una miaka mingapi? Isije ukawa unatafuta shuga mami...!!Mwenye mawasiliano ya wema naomba anisaidie, najua kwa Moyo wake ulivyo ataweza kunisaidia na mimi,Ana roho nzuri saana Yule dada,mungu kambariki kwa mengi jamani,uzuri fedha na moyo wa kutoa,
Mbona watoa misaada ni wengi humu jf? Pitisha bakuli bwana, kwaresma hii tunataka kum-impress sir god azipotezee dhambi zetu.
Mwenye mawasiliano ya wema naomba anisaidie, najua kwa Moyo wake ulivyo ataweza kunisaidia na mimi,Ana roho nzuri saana Yule dada,mungu kambariki kwa mengi jamani,uzuri fedha na moyo wa kutoa,
Yule dada,mungu kambariki kwa mengi jamani,uzuri fedha na moyo wa kutoa,
Bora umesema. Nashangaa sana watu wanavo msrma leo. But ndio jf hii, opinions kama bendera. Na leo wengi watajifanya wanamjua kwa karibu na wanaweza toa contacts zake.leo kaonekana ana roho nzuri sio? kweli bongo ni tambarare humu ndani topic nyingi wanazianzisha kwa kumchambua kama karanga leo hii watu tayari wameshabadilika.nilishasema tusiwe tunawahukumu watu kwa mavazi na ngozi zao watu wanaroho nzuri kuliko sisi tunaojificha nyuma ya keyboard,
Kweli kabisa, tatizo ni kuficha identity, humu jamvini tutaishia kutoana macho na kuchekana. Msaada utawekeza kwa usiyemjua?Mbona watoa misaada ni wengi humu jf? Pitisha bakuli bwana, kwaresma hii tunataka kum-impress sir god azipotezee dhambi zetu.