Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine tulifanya kama wewe eti tukaambiwa imekuwa kero sasa na eti nimekuwa "clingy".................kaaazi kwelikweliinategemea mwenzako yupo vipi.wengine wavivu wa mawasiliano.mimi kwa upande wangu,huwa nikipenda,nakuwa sichoki kuwasiliana na mpenzi wangu,na sichoki kuongea nae kila mara.nikisikia sauti yake tu,basi siku yangu huwa nzuri
Wengine tulifanya kama wewe eti tukaambiwa imekuwa kero sasa na eti nimekuwa "clingy".................kaaazi kwelikweli