ama kweli,mbona hilo sio la kuuliza,kwani jibu lipo wazi,huyo mke wako,anae mtu kaona issue itajulikana kaamua kupoteza ushahidi.muelimishe mke wako.saa nyengine ku cheat ni kuwa na mapungufu ndani ya ndoa yenu,jaribu mkae na msuluhishe hayo mapungufu yenu{mmh my smile}
hilo mbona ni jinalangu! Usihofu kama ndio huyu anaye niganda sana, nitakutuzia kiaina. Ha ha ha ha, jifanye mpelelezi sikuojoa aga safari then zunguka umtail siku nzima. Kama vp nikupe bugs za kwenye simu urecord mazungumzo ya siku nzima.
ahahaaa mi sijaolewa bwana sina hata bf....Au ndo maana huy Smile wa JF kabadili na jina?
Nimefurahi sana kuona jina lako na ushauri uliotoa vinashabihiana, ila ukweli kwa kitendo hicho cha mamsap jibu lipo wazi...mie nisingekubali eti lain aikate kate..mmh..pangechimbika