Wana jf,leo nimekumbwa na mkasa,ni hivi nikiwa chumbani na mke wangu sim yake ikaita kwa bahati nzuri nilikuwa karibu nayo namba yenyewe imeandikwa my smile nilipo muuliza akaniambie eti ni rariki yake anaitwa mariam nilipotaka kumpigia akanipora sim na kudelete hakuishia hapo na line ameikata kata na kuitupa mbali vipande vipande jamani kuna nini hapa si kuibiwa huku