Mawatu ya hivi yana kera

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,793
Reaction score
9,101
Watu wa dizaini hii nini kinawa washa mpaka kuingililia mambo ya siyo wahusu na huku kila mtu ana haki ya kupost chochote akipendacho ila tu asivunje sheria za humu.
Unakuta Mtu umepost zako thread kwenye jukwaa husika lakini baadhi ya watu utasikia waki-reply kuwa umepost pumba jaman eeh..hujalazimishwa kukoment kaa unaona mada haikuhusu bora kutokuchangia chochote kulko kualbiana siku bure
Mods wenyewe hawaongei kitu wewe kibarua ndo mdomo ukuvimbe acheni hizo tusitaftianeni ban zisizo na lazima

nawasilisha.
 
Sasa ukipost pumba usiambiwe?
 
Dah.... Pumba mwanzo mwisho [emoji87] [emoji13] [emoji86] [emoji41]

Sent from my Osborne II using JamiiForums Mobile App
 
nyie ndo walewale
Hujajibu swali.

Tuseme umepost pumba, umekosea, usiambiwe?

We Magufuli au nani?

Hata huyo Magufuli akisemapumba anakosolewa, itakuwa wewe?

Kaulimbiu ya hapani "Where We Dare To Talk Openly".Kamahujajua hiyo maana yakenini, labda ukokatika forum ambayohutakiwi kuwepo.
 
bora upost pumba za maindi zina vitamini angalau ata mifugo itakula ila sio pumba za mchele ata wanyama hawatumii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…