holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,793
- 9,101
Watu wa dizaini hii nini kinawa washa mpaka kuingililia mambo ya siyo wahusu na huku kila mtu ana haki ya kupost chochote akipendacho ila tu asivunje sheria za humu.
Unakuta Mtu umepost zako thread kwenye jukwaa husika lakini baadhi ya watu utasikia waki-reply kuwa umepost pumba jaman eeh..hujalazimishwa kukoment kaa unaona mada haikuhusu bora kutokuchangia chochote kulko kualbiana siku bure
Mods wenyewe hawaongei kitu wewe kibarua ndo mdomo ukuvimbe acheni hizo tusitaftianeni ban zisizo na lazima
nawasilisha.