Madini kukamatwa nje sio kosa la waziri wa madini...kosa liko polisi na uhamiaji.....unajua yanayoendelea kwenye migogoro ya ardhi? watu wanakufa kila leo, unajua yanaendelea kwenye madini kila leo madini yanakamatwa china, india mara kenya
Aiseeee !!!The Boss Endelea kutetea rafiki zako (Business Patners wako) nchi inaangamia hatuna nchi nyingine
Tafuta hela ndugu. Hakuna kiongozi atakaye kurahisishia maisha.HAO MAWAZIRI NDIO WANAOONGOZA KWA UTENDAJI MBOVU UNAOSABABISHA HASARA KWA TAIFA NA UGUMU WA MAISHA
Nakuelewa. Halafu bado hakuna evidence kwamba hayo madini ni ya Tanzania. Natamani wanaotuhumu waonyeshe kwa ushahidi kama hayo madini ni ya Tanzania. Vinginevyo hii siyo tu inachafua waziri bali nchi. 🙏🙏🙏Madini kukamatwa nje sio kosa la waziri wa madini...kosa liko polisi na uhamiaji.....
Migogoro ya ardhi mingi watu hawataki kufata sheria na msimamizi wa sheria ni polisi sio waziri wa ardhi
Mimi na familia hatuna tatizo la fedha za kujikimu kugharamia maisha hapa tunazungumzia watanzania wenzetu wasio na sauti wasioweza hata kununua bando kuweka kwenye simu kuingia JFTafuta hela ndugu. Hakuna kiongozi atakaye kurahisishia maisha.
Duniani kote wasio na sauti hupiganiwa na wenye sauti. Yawezekana na wewe una uwezo wa kujilisha tu lakini huna sauti.hapa tunazungumzia watanzania wenzetu wasio na sauti
Wewe uyakuwa ni mwanamke wa hovyo kwenye ndoa yako kwa ujinga ujinga unaopenda kupost humu.hovyo kabisa.Tafuta hela ndugu. Hakuna kiongozi atakaye kurahisishia maisha.
Angelina Mabula sina uhahika lakini Dotto hamna kitu madini yanatoroshwa 24/7 yeye yupo yupo tuAngelina Mabula nae mtendaji mbovu?na Dotto Biseko nae mtendaji mbovu?
Mbona ya Umeme anatwishwa January Makamba? Tuache double standardsMadini kukamatwa nje sio kosa la waziri wa madini...kosa liko polisi na uhamiaji.....
Migogoro ya ardhi mingi watu hawataki kufata sheria na msimamizi wa sheria ni polisi sio waziri wa ardhi
Eti likija suala la Umeme Januari Mbaya likija la Madini Doto mzuri na wote wako NEC wanamsimia Rais na ndio watakaopitisha jina la Rais 2025 patamu hapoMbona ya Umeme anatwishwa January Makamba? Tuache double standards
wao wanapiga dili wanakula kwa urefu wa kambaHivi wenyewe ugombea wao unasimamiwa na nani