Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Kweli we kilaza ndugu yangu.Nakuelewa. Halafu bado hakuna evidence kwamba hayo madini ni ya Tanzania. Natamani wanaotuhumu waonyeshe kwa ushahidi kama hayo madini ni ya Tanzania. Vinginevyo hii siyo tu inachafua waziri bali nchi. 🙏🙏🙏
Tanzanite sio ya Tanzania??
What kind of chawa are you??